Baba mtakatifu91
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,362
- 9,241
- Thread starter
- #41
Haikwepeki mkuuSikuhizi bado mnatongozana?
Haikwepeki mkuuSikuhizi bado mnatongozana?
Tatizo ni kwamba wanaanza kuomba pesa nao kwa hiyo inakuwa ni mchanganyiko mtupu, mtu anabaki hajui kama amekubalika au ni pesa tu inatakiwa😁.
Inatakiwa wakati wakimzungusha mtu wasiombe pesa.
Ni njaa na tamaa pia zinachangia wanatafuta kupata pesa, ila ni upumbavu sana.
We mchoyo bwanaMimi sio mchoyo ujue😆😆😆
Hujawahi hij kuijuaHiyo ndo principle mating demand ATP. Ukimtongoza mwanamke akakukubali haraka jua kuna kitu hakipo sawa either una kimojawapo kati ya hivi
1.Una pesa
2.Mfanyakazi
3.Kastaafu umalaya anatafuta wa kustaafia
4.Anataka ndoa ili amiliki mali ulizo nazo wale pamoja na watoto wake ili wewe upigwe chini
5.Amekuona una akili ndogo
My bro huyo hajafuata upendo wako
Mimi uwa natongoza maramoja tu , akikataa fresh tu akikubali uhakika ,Hiyo ndo principle mating demand ATP. Ukimtongoza mwanamke akakukubali haraka jua kuna kitu hakipo sawa either una kimojawapo kati ya hivi
1.Una pesa
2.Mfanyakazi
3.Kastaafu umalaya anatafuta wa kustaafia
4.Anataka ndoa ili amiliki mali ulizo nazo wale pamoja na watoto wake ili wewe upigwe chini
5.Amekuona una akili ndogo
My bro huyo hajafuata upendo wako