Mimi nimeuliza caption ya hii picha inaweza kuandikiwaje lakini naona majibu ya kitu kingine kabisa
Nakuaminia kwa kufunga sita. Baada ya sita basi njoo kwetu nadhani kwa sasa hali ya usafiri wa malori unaridhisha.naeenda kufuturu sasa..... pataeleweka
Nakuaminia kwa kufunga sita. Baada ya sita basi njoo kwetu nadhani kwa sasa hali ya usafiri wa malori unaridhisha.
Hivi katika dhambi kuna tabaka la dini? Mbona wakristu mnakatazwa kuzini na bado mnazini? Nadhani ifike pahala tukubali kuwa kwa Mwisilam kama mimi kunywa pombe ni haram ila nikinywa ni kutenda dhambi kama dini nyingine.utabisha kuwa wanakula kiti moto?
kuna bar moja iko pale viunga vya bugando mwanza mpishi wa kiti moto ni mwislam kabisa
Kila mtu na mapenzi yake ndugu yangu. Mbona ni wengi wanafanya biashara.Mbona mama ntilie na maduka ya baresa hawauzi vyakula mchana wakati wa mfungo wa ramadhani?
Mimi nimeuliza caption ya hii picha inaweza kuandikiwaje lakini naona majibu ya kitu kingine kabisa
Mimi nimeuliza caption ya hii picha inaweza kuandikiwaje lakini naona majibu ya kitu kingine kabisa
View attachment 174480Maelezo tafadhali.
View attachment 174480Maelezo tafadhali.