Ukiandika maelezo gani katika hii picha?

Wakija wenyewe watasema huyo jamaa alivaa tu kanzu kwa bahati mbaya
 
utabisha kuwa wanakula kiti moto?
kuna bar moja iko pale viunga vya bugando mwanza mpishi wa kiti moto ni mwislam kabisa
 
Huwezi kumuhukumu mtu kwa mavazi wala jina lake. Tazama matendo yake. Hivi kuna mtu hana jina?
 
Mimi nimeuliza caption ya hii picha inaweza kuandikiwaje lakini naona majibu ya kitu kingine kabisa
 
Angetufanyia haya mambo kwetu visiwani huku si tungemuua kabisa huyu kwa mawe.
 
Kawaida yetu ndiyo maana wakati wamfungo baa zinakaa wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…