JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
Mzima wewe ndugu?
Uje ujaribu bana, ila hata mie siku ya kwanza niliona kama haiwezekani, ila nilipata na homa kwa jinsi nilivyo chokaga.
dah, yako kali. Mi nimeshapiga gongo la mboto posta mara mbili tu...
Yako simple, mda huu nimetoka huko huko kwa mguu hadi posta
Umesema nakudanganya?? 1988-1994 nilikuwa nje.
Ila nataka nijaribu wenda moro town kwa mguu mdogo mdogo...
Uhu hu hu.. Siku ukianza safari unishtue twende pamoja tutaachana chalinze
St. Paka Mweusi hatu kutishi. Unakumbuka vita vya kagera? Na nimeshawai kutembea kutoka Dar hadi Musoma kwa taarifa yako.
ah ah..! Kama ulikua unashinda maabara, density ya hydrone ni ngapi? Na je density ya Hydrogen2 + Oxygen ni ngapi vile.. mh! Je, mlijifunza Content of distribution network kwenye topic ya wave na practical? Nakumbuka zamani elimu ilikua bora sana duh!
Umekuwa Seti Benjamin..??
:becky::becky::becky:
Umesema nakudanganya?? 1988-1994 nilikuwa nje.
nchi imekuwa ngumu pesa hakuna
na hata hivyo mbona wengi tutatembea tu kwa miguu!
St. Paka Mweusi kutembea ni kipaji, mie enzi ni skauti yap, nilikua na miaka kama 10 ivi, nilitembea kutoka tabora hadi sikonge, then tukaludi nikachapa mwendo to Urambo alafu kigoma
nchi imekuwa ngumu pesa hakuna
na hata hivyo mbona wengi tutatembea tu kwa miguu!
Na wewe?!!!