Paw,kwani nani kazifunga?
Ndo wivu ++ huo sasa. Ukishaniban mie utafaidika vipi. Mtoto wa watu nilivyo mpole.
Ni Kipeuo ni Root,na KIPEO ni Exponent/power... hope ulitaka kusema KIPEO King'astiUna wivu kipeuo cha tatu. Kama na wewe una ubavu, karibu tujipendekeze wote kwa paw