Ukiambiwa “msalimie umpendae”, ujue mwanamke ameshakupenda

Ukiambiwa “msalimie umpendae”, ujue mwanamke ameshakupenda

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,386
Reaction score
83,430
Ukiambiwa hili neno ujue mwanamke ameshakupenda.

Ukiona mwanamke anakuambia "Msalime umpendae' au umpendae hajambo! katika maongezi yenu fahamu tu ushapendwa na kukubaliwa moja kwa moja .

Japo hii mbinu Ina apply both side KE na ME Ila Ina work out zaidi kwa ME
 
Ukiambiwa hili neno ujue mwanamke ameshakupenda.

Ukiona mwanamke anakuambia "Msalime umpendae' au umpendae hajambo! katika maongezi yenu fahamu tu ushapendwa na kukubaliwa moja kwa moja .

Japo hii mbinu Ina apply both side KE na ME Ila Ina work out zaidi kwa MR

Na asipokuelewa huwa anasemaje?
 
Ukiambiwa hili neno ujue mwanamke ameshakupenda.

Ukiona mwanamke anakuambia "Msalime umpendae' au umpendae hajambo! katika maongezi yenu fahamu tu ushapendwa na kukubaliwa moja kwa moja .

Japo hii mbinu Ina apply both side KE na ME Ila Ina work out zaidi kwa MR
Mwanamke wa Bongo lakini.....yaani tunaita kibongo-bongo
 
Dr haya land ujue wewe ndie mtu ambaye una influence kubwa sana kwa upande wangu .

Nakumbuka wewe ndie uliniambia kuhusu semen retention ejaculated yaani niachane na mademu zile hamu hamu hamu nipeleke zaidi kwenye biashara.. na kweli nikafanya hvo..

Leo unakuja kusema mambo kama haya DR HAYA LAND unataka nifanyaje niachane na slogan ile nifate hii au maana nishaambiwa sana hii kauli mkuu tena mwisho Jana

Na watu mbali mbali kauli kama hizi kwangu zimekua too much

"" Wifi kashakupikia""
"" Uwezi kuwa single wewe""
"" Bado baby wako ajafika""

Sasa mkuu naona kabisa wewe kama misimamo yako ya ajabu ajbu
 
Back
Top Bottom