Ukiambiwa, baby tuzime taa, jiulize Mara mbili.

Ukiambiwa, baby tuzime taa, jiulize Mara mbili.

Mapenzi yana raha mkionana, milango yote ya fahamu inakuwa kazini.
Macho yanafaidi, masikio, ulimi, ngozi na pua pia, ndio maana ni lazima mjiandae na kujiweka safi miili na chumba chenu kabla hamjaanza show.
Sasa Kuna mizigo mingine utaisikia inakwambia, "Baby tuzime taa" unataka kufanya nini tena mrembo, au unataka kuruka na ungo?
Hebu tulia....... Usikubali harakaharaka kuzima taa, anakuficha nini?
54432638_596785967399378_989210012846915584_n.jpg
Eeeeeeeh wanaume mna moyo wa chuma jamani ukute huyu kuna mtu anajipigia fresh tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eeeeeeeh wanaume mna moyo wa chuma jamani ukute huyu kuna mtu anajipigia fresh tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha daahh " huyo spare part ukiuona mwili wake lazima igome kusimama dede aise .....

I bet atakuwa ni senior member wa CHAPUTA tu ...... wanaume hatujawa wapumbavu wa kiasi hicho....tutake radhi tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha daahh " huyo spare part ukiuona mwili wake lazima igome kusimama dede aise .....

I bet atakuwa ni senior member wa CHAPUTA tu ...... wanaume hawa tujawa wapumbavu wa kiasi hicho....tutake radhi tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Mimi huyo silali nae kitanda kimoja weeeeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom