Ukiachika, nijulishe..

Hivi ishu ya ngoma inanitisha mimi tu? Sijaona yeyote aliyeulizia kipimo humu.
 
Hii thread imenichekesha sana, imenikumbusha jamaa mmoja alikuwa anatoka na mke wa mtu akawa anasuburi waachane achukue jumla - yaani kama fisi anasubiri mkono uanguke! kichekesho zaidi yule dada aka conceive, jamaa akaamini mimba ni yake akaanza kutoa huduma kamili, akapangisha nyumba na kuijaza ma ozendi ya nguvu kumbe anatapeliwa tu yule dada akamuwe kamdogo wake kwenye ile nyumba yeye anaendelea kuishi na mume wake, pale akawa anaenda tu kukutana na yule jamaa.

Alipoona mimba inakuwa binti hajaachwa akaenda kwa wazee kutaka ushauri wamsaidie kudai mimba yake kwa mke wa mtu. Mzee mmoja akamwambia nimewahi kukutana na mapunguani lakini wewe ni shehe wao!
 
Yaheeeeeee nawakaribisha pemba wote waliopatwa na matatizo....haya
service freecharge
 
Hii thread imenichekesha sana, imenikumbusha jamaa mmoja alikuwa anatoka na mke wa mtu akawa anasuburi waachane achukue jumla - yaani kama fisi anasubiri mkono uanguke! kichekesho zaidi yule dada aka conceive, jamaa akaamini mimba ni yake akaanza kutoa huduma kamili, akapangisha nyumba na kuijaza ma ozendi ya nguvu kumbe anatapeliwa tu yule dada akamuwe kamdogo wake kwenye ile nyumba yeye anaendelea kuishi na mume wake, pale akawa anaenda tu kukutana na yule jamaa.

Alipoona mimba inakuwa binti hajaachwa akaenda kwa wazee kutaka ushauri wamsaidie kudai mimba yake kwa mke wa mtu. Mzee mmoja akamwambia nimewahi kukutana na mapunguani lakini wewe ni shehe wao!

Duh! Huyo jamaa ana kichaa, yaani ukadai mimba yako uliyompa mke wa mtu?
 
Sio mchezo....Aminia sweetbaby wewe toa hudumu zote tu...Sasa pemba kubwa unaishi wapi??
 
Duh! Huyo jamaa ana kichaa, yaani ukadai mimba yako uliyompa mke wa mtu?

.smile. Ndio maana yule mzee akamwambia nimewahi kukutana na majuha wengi lakini wewe ni kiongozi wao! yaani alikuwa serious anadai mimba aliyompa mke wa mtu! na alikuwa anasubiri waachane amuoe yeye... yaani utaahira sio lazima utoke udenda!
 
Back
Top Bottom