Ukerewe: Tuhuma ya utekaji uliofanywa na Askari Polisi

mpushi

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
280
76
Napenda kutoa taarifa ya tukio la utekaji wa kijana Narsisi Masama wa kijiji cha Galu Ukerewe uliotokea siku ya jana kijijini hapo uliofanywa na Askari wa Jeshi la polisi anaefahamika kwa jina la Asante Simon wa kituo cha polisi Mriti Ukerewe.

Askari polisi huyo pamoja na wenzake walitumia gari ndogo binafsi inayomilikiwa na Mwl Revocatus Moi wa Kijiji cha Masonga Ukerewe.

Kusudi la kuandika uzi huu ni kuomba msaada ndugu yetu aachiliwe au afikishwe kwenye vyombo vya sheria kihalali kama kweli anakosa badala ya kumshikilia isivyo halali sehemu isiyojulikana.

Tumefanya juhudi za kumtafuta vituo vyote vya polisi ukerewe bila mafanikio.

Tunaomba RPC Mwanza utusaidie katika hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mbunge wenu alishafariki! Si aliamua kuunga juhudi na kusema kelo na matatizo yenu yataisha?
 
Duu wameanza tena!? Wanaharibu zaidi kama hawajui
Napenda kutoa taarifa ya tukio la utekaji wa kijana Narsisi Masama wa kijiji cha Galu Ukerewe uliotokea siku ya jana kijijini hapo uliofanywa na Askari wa Jeshi la polisi anaefahamika kwa jina la Asante Simon wa kituo cha polisi Mriti Ukerewe.

Askari polisi huyo pamoja na wenzake walitumia gari ndogo binafsi inayomilikiwa na Mwl Revocatus Moi wa Kijiji cha Masonga Ukerewe.

Kusudi la kuandika uzi huu ni kuomba msaada ndugu yetu aachiliwe au afikishwe kwenye vyombo vya sheria kihalali kama kweli anakosa badala ya kumshikilia isivyo halali sehemu isiyojulikana.

Tumefanya juhudi za kumtafuta vituo vyote vya polisi ukerewe bila mafanikio.

Tunaomba RPC Mwanza utusaidie katika hili

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Duh poleni sana! britanicca aliwahi kusema kazi za UVCCM ila saa hapa naona "Polish" nao wameguswa

Kwa mujibu wa bodaboda waliokuepo eneo la tukio aliehusika kumkamata na kumfunga pingu ni polisi anaefahamika kwa jina la Asante na wameondoka nae kwenda sehemu ambayo kwa siku ya 3 leo hajulikani alipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duu wameanza tena!? Wanaharibu zaidi kama hawajui

Jr

Baada ya kuhangaika mtafuta bila mafanikio na kwa kuwa aliekwenda mkamata ni askari polisi anaefahamika na gari iliyotumika inafahamika tumeona tuireport humu labda tunaweza fikisha ujumbe kwa wakubwa zake kwa msaada zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom