Ukeketaji

Ukeketaji

Duh.thanx Excel kwa kuitika wto , hopw n mwanga mzur sana waktaka kuifuata sheria.asanteee msomi wangu. Haya mitihan mema kaka.

Thanks a lot Kan',

please enjoy this, mchana mwema!

 
Last edited by a moderator:
Huyo mtafutie mwanaume aonje utamu alafu mwambie ukishakatwa king'amuzi hakuna tena huo utamu
 
Cha muhimu ni kujaribu kumpa somo Zaidi ukimweleza hatari anaziweza kupata hata dada wa kazi wa hapa kwangu aliitwa nyumbani na alimwambia wife ni nini kitaendelea kipindi yupo nyumbani na tukampatia ushauri na kwa kweli sasa yupo Safi sana na aliludi baada ya muda mfupi na jinsi alivyo tuambia kwamba hakukeketwa
 
hako kanyama ndo steem zangu zipo hapo,du kakikatwa cna haja tena ya kugegedwa coz bila kucheza nako sifik mwisho kama tu mt anacheza loh halaf mt aanze tu kumkatia mwenzie utam wake, hiv kwani ni wjmila ya kijinga hayo
 
hako kanyama ndo steem zangu zipo hapo,du kakikatwa cna haja tena ya kugegedwa coz bila kucheza nako sifik mwisho kama tu mt anacheza loh halaf mt aanze tu kumkatia mwenzie utam wake, hiv kwani ni wjmila ya kijinga hayo

Mmmhhh ndo hapo sasa.....kinang'olewa chote hicho king'amuzi
 
Huyo mtafutie mwanaume aonje utamu alafu mwambie ukishakatwa king'amuzi hakuna tena huo utamu

Una hakika gani akitafutiwa huyo mwanaume atasikia utamu???na je nitajuaje kama hajawahi kuwa nae zaid ya hisia tu.
 
Hakuna kitu nachukia kama kulala na mdada aliyekeketwa. Wanachosha ni noma! Unaweza kutwanga mpunga tangu mtu anaondoka chalinze kwanda dar na akarudi mwanamke hajakojoa.
 
Habari wana MMU

Tuna binti wetu wa kazi ambae sasa ni kama miezi 6 tangia tumeanza kuishi nae.Ni mwenyeji wa mkoa wa Dodoma.

Huyu binti historia yake hakuwahi kupelekwa shule na kwa maana hiyo hawezi kusoma wala kuandika.Alifanyiwa mpango hapa nyumbani akapelekwa sehemu ili ajifunze kusoma na kuandika then utaratibu mwingine ufuate.
Kumbe bado upo kihome boy!!!?
Njon nkuoe tuishi pamoja wewee! Ukiandika hapa isomeke 'kwangu' instead of 'kwetu'! Understand???
Amekuwa ni rafiki kwangu ingawa me nimempita kiumri ila ananiambia vitu vingi sana.Na huwa na mshauri pale inapobidi...

Juzi mama yake alipiga cm kwa wazazi wangu wakiomba tumrudishe binti yao.Home walikubali na baadae wakampigia tena aongee na binti yao....
Waliongea nae kwa kilugha na hatukujua walichoongea

Sasa leo huyu binti amenifuata chumbani na kuniambia kuwa mama yake atakuwa anamuitia kumkeketa tu maana kabla yakuja huku dar alimwambia akamsalimie bibi yake kijijini (mvumi) akahisi zoez hilo lingekamilishwa lakin hakwenda.

Namuonea huruma sana na nimemwambia kuwa akirudi nyumbani asikubali lakin sasa kaniambia haiwezekani kwani huwa wanawakamatia ndani.

Roho inauma sijajua jinsi yakumsaidia jamani.....nisaidieni ushauri!!!
Hamna jinsi, kama mnaweza mzuieni asiende kwao!
 
Kumbe bado upo kihome boy!!!?
Njon nkuoe tuishi pamoja wewee! Ukiandika hapa isomeke 'kwangu' instead of 'kwetu'! Understand???

Hamna jinsi, kama mnaweza mzuieni asiende kwao!

Chefuuuuuuu......ndoa sio malaria kila mtu augue.Hujambo lakini???
 
Leo binti kakwambia kuwa anahisi kuitwa huko ni kwa ajili ya kumkeketa tuu. Wewe umemshauri kuwa akirudi nyumbani asikubali lakini yeye kadai kuwa haiwezekani kwani huwa wanawakamatia ndani na kuwakeketa. Sheria inasemaje? Kifungu cha 169A(1) cha Sheria ya Tanzania ya Makosa ya Jinai ya mwaka 2002 kinasema:

169A.-(1) Mtu yeyote ambaye, ni muangalizi, anawajibu au usimamizi wa mtu yeyote mwenye umri wa chini ya miaka kumi na nane akimtesa au akimtelekeza mtu huyo au akisababisha tohara kwa mwanamke au akimtahiri au kusababisha tohara hiyo ifanyike au kusababisha mtu huyo adhalilishwe, ateswe, au atelekezwe kwa namna ambayo itamsababishia maumivu au madhara kwa afya yake, pamoja na maumivu au kuharibu uwezo wake wa kuona, kusikia au kiungo chochote cha mwili au akili, atakuwa ametenda kosa la ukatili kwa mtoto.

Kwa kisoma hicho kifungu, mtakuwa mmetenda kosa la jina kama mtamruhusu kwenda kukeketwa, kama kweli ameambiwa aende kukeketwa bila ridhaa yake? Kwa maana nyingine, hiki kifungu cha sheria kinawahusu nyie? Ana umri gani?
Hii mila inatakiwa itokomezwe kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom