Ukeketaji

Ukeketaji

Kaka kiwatengu njoo msaada wako kaka mada nzito, ICHANA mamy, honey Faith wapi Excel msomi wangu njoo usaidie hapa tafadhar
asante kwa wito my dear kan'..

surely hili tatizo lilitakiwa liungiwe target tu na wahusika wakamatwe ikiwezekana,

Nadhani ustawi wa jamaii watakuwa wanahusika sana na hili kiujumla, serikali pia iko mstari wa mbele kupinga FGM.

Kumbuka kuwa makabila mbalimbali yanafanya FGM kwa imani za asili tu bila kujua side effects.
miss strong, tafadhali consult wanasheria na watetezi wa wanawake, ongea na TGNP, kama uko Dar es salaam, TGNP wanapatikana Mabibo karibu na chuo cha taifa cha usafirishaji (NIT).

Wasiliana na TGNP

TGNP Mtandao, Mabibo, Dar es salaam.
Head Office
TGNP Mtandao

Phone no:
call_skype_logo.png
+255754784050
call_skype_logo.png
+ 255785784050

Pole kwa tatizo linalomkabili rafikiyo.
Call
Send SMS
Add to Skype
You'll need Skype CreditFree via Skype
 
kijijini kwao na huyo binti marufuku ya serikali haijafikaa bado???
 
akifuata haya melekezo atamsaidia binti ikiwezekana huyo mama atishwe kwenye simu huko huko aliko
 
Umenikumbusha (unanswered cries) yule olabisi duh,,,
 
akifuata haya melekezo atamsaidia binti ikiwezekana huyo mama atishwe kwenye simu huko huko aliko
exactly,

Nadhani wahusika wakuu ambao wana wajibu wa kulinda wanawake dhidi ya ukeketaji ni TGNP!

Halafu pia kuna organisation niliisahau ambayo ina-deal na gender violence! Inaitwa TAMWA!

Hii nayo nadhani itakuwa useful sana kwa dada! nadhani miss strong ukiamka, ifuatilie vizuri kupitia

[h=5]TANZANIA MEDIA WOMEN'S ASSOCIATION -TAMWA
P.O.BOX 8981, DAR ES SALAAM, TANZANIA, EAST AFRICA. TEL:
call_skype_logo.png
+255 (22) 2772681, FAX: +255 (22) 2772681
call_skype_logo.png
+255 (22) 2772681
[/h]
PIGA SIMU KWA INFORMATION ZA HARAKA ZAIDI...

Lazima hawa wazazi wa mtoto wafunzwe kitu,

Yawezekana wanang'ang'ania mila ambazo either wanajua negative impacts, ama kwa bahati mbaya, hawaelewi walitendalo, something that i doubt, kwa dunia ya sasa, ni wachache sana ambao hawaelewi nini madhara ya FGM.

Call
Send SMS
Add to Skype
You'll need Skype CreditFree via Skype
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Excel nimekupata vyema sana tu....hili niralifanyia kazi ipasavyo.Hawawezi kufanya ukatili kama huu kwa huyu binti.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Excel nimekupata vyema sana tu....hili niralifanyia kazi ipasavyo.Hawawezi kufanya ukatili kama huu kwa huyu binti.

Fanya hivyo miss, mbali na kumsaidia huyo binti, utakuwa umewasaidia hata hao wazazi wake bila wao kufahamu!

Unajua, aliyesema kosa vyote upate elimu alikuwa na maana kubwa sana! sasa hapo unaweza kuta wana mtoto huyo tu, ama tufanye wana wengine wengi ndani, sasa je, wakimsababishia mtoto fistula? akifariki je? Je kenye tendo la ndoa na kuja kujifungua itakuwaje?

Ukiwapa maneno haya face to face, watakuona mbaya wao! unaweza hata ukarogwa!!!

Whats important.. Just consult TGNP, TAMWA na hata polisi na mahakama!

Kumbuka ukimsaidia mwanamke mmoja, ni kama umeisaidia jamii nzima!
 
Nikweli mkuu Excel unavyosema yaani yeye mwenyewe huyu binti anasema wapo aliowafahamu walifariki wakati wanafanyiwa hayo.

Ingawa wanaorudi kutoka huko mafichoni wanaambiwa wakiulizwa na wenzao wanasema yaan huko ni raha.
 
Last edited by a moderator:
Wanataka kutuondolea utamu bure, kikikatwa kile kuna nini sasa, si ndio mambo ya zero response hayo.
 
asante kwa wito my dear kan'..

surely hili tatizo lilitakiwa liungiwe target tu na wahusika wakamatwe ikiwezekana,

Nadhani ustawi wa jamaii watakuwa wanahusika sana na hili kiujumla, serikali pia iko mstari wa mbele kupinga FGM.

Kumbuka kuwa makabila mbalimbali yanafanya FGM kwa imani za asili tu bila kujua side effects.
miss strong, tafadhali consult wanasheria na watetezi wa wanawake, ongea na TGNP, kama uko Dar es salaam, TGNP wanapatikana Mabibo karibu na chuo cha taifa cha usafirishaji (NIT).

Wasiliana na TGNP

TGNP Mtandao, Mabibo, Dar es salaam.
Head Office
TGNP Mtandao

Phone no:
call_skype_logo.png
+255754784050
call_skype_logo.png
+ 255785784050

Pole kwa tatizo linalomkabili rafikiyo.
Call
Send SMS
Add to Skype
You'll need Skype CreditFree via Skype

Duh.thanx Excel kwa kuitika wto , hopw n mwanga mzur sana waktaka kuifuata sheria.asanteee msomi wangu. Haya mitihan mema kaka.
 
Last edited by a moderator:
Wanataka kutuondolea utamu bure, kikikatwa kile kuna nini sasa, si ndio mambo ya zero response hayo.

Magonjwa coz kifaa kimoja kinahudumia watu wengi kwa wakati moja....au kifo tokana na kuishiwa damu
 
Kaka kiwatengu njoo msaada wako kaka mada nzito, ICHANA mamy, honey Faith wapi Excel msomi wangu njoo usaidie hapa tafadhar

am sorry kwa kuchelewa ,
ILA Ukeketaji sio kitu kizuri fuata ushauri wa Excel....unasaidiwa bila gharama yoyote wanawake tupambane juu ya hivi vitendo kwa maana madhara ni mengi.angea na wazazi wako msaidiani huyo binti
nimeweka some tips zinazohusiana na madhara ya ukekeji

Sababu za ukeketaji ni nini?
Ukeketaji ni mila na utamaduni potofu uliyoanza na kupitishwa kizazi hadi kizazi,
zifuatazo ni sababu kuu za baadhi ya jamii kukeketa wanawake;
• Mila na utamaduni potofu
• Kitendo cha ukeketaji kinadhihirisha ujasiri, kupevuka na kuwa tayarikuolewa
ilikuleta heshima katika familia.
• Kutunza hali ya usichana.

Madhara yatokanayo na ukeketaji ni yapi?
Ukeketaji umekuwa na madhara mengi kwa wale wanaofanyiwa ikiwemo
maambukizi ya virusi vya ukimwi kutokana na kuchangia nyenzo za kukeketea kati
ya wasichana wengi na mshtuko kutokana na uchungu wa kukeketwa bila ganzi.

Yafuatayo ni baadhi ya madhara anayoweza kupata mwanamke
au mtoto anapotahiriwa
Kifo - hii ni kwa sababu kitendo hiki kinafanya mwanamke atoke damu nyingi
sana.
Kutokwa nadamu nyingi.
Hatari yakupata maradhi ya kuambukiza mfano zinaa endapo vifaa
mpaka kwenye viungo vya uzazi na kusababisha ugumba na wakati
mwingine kifo.
Hatari yakuambukizwa virusi vya ukimwi wakati wa ukeketaji.
Kuziba mkojona damu ya mwezi (hedhi) ndani ya mwili wa mwanamke na
kusababisha uambukizo.
Mwanamkekupata maumivu makali wakati wa kujamiiana na wakati wa
kujifungua kutokana na kupungua kwa ukubwa wa uke.
Kutahiri wasichana/wanawake kunawafanya wasichana kuathirika kisaikolojia
na kukosa tumaini na imani kwa walezi na wazazi wao.
Ukeketaji unampunguzia hamu mwanamke ya kujamiiana.
kulema chamaisha
Madhara mengine ni upungufu wa damu kutokana na kuvuja damu nyingi wakati
wa kukeketwa,maumivu wakati wa kukojoa na magonjwa ya njia ya mkojo
yasiyoisha,uvimbe katika njia ya mkojo na uke, pepopunda, matatizo ya mkojo,
Ukeketajihata hivyo unaharibu umbile na kazi za viungo vya uzazi vya nje vya
mwanamke,unaleta madhara ya kimwili na kisaikolojia, mara nyingi huleta matatizo
katika mahusiano baina yamwanaume na mwanamke.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom