Raelish
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 489
- 162
Msaada wataalamu,
Ukeni kunauma kama kunawaka moto hivi hasa wakati wa kufanya mapenzi na hata baada ya kumaliza, kila aina ya vipimo nimefanya sijapata ugonjwa wowote.
Sasa inawezekana kuna mwanamke mwenzangu amewahi ugua au amewahi kumwona rafiki yake wa karibu akisumbuka au kuna wataalamu zaidi hapa, wote hao jamani naombeni msaada namna ya kutatua hili tatizo.
Mara ya kwanza madaktari walifikiri ni candadiasis nikapewa dawa haikusaidia, wengine wakabuni labda trikonoma nikapewa dawa lakini haikusaidia kitu, dawa nyingi natumia lakini bado sijapata unafuu.,naomba mwenye ujuzi anisaidie.
Natanguliza shukurani za dhati wapendwa