BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,198
Nimefuatilia taarifa ya Habari CITIZEN inaonyesha CORD na JUBILEE Wamefanya makubaliano ya kufanyia marekebisho ya Tume yao ya uchaguzi. Kila upande unatoa wajumbe saba wanafanya mchakato wa kuwaondosha makamishna wa Tume yao na kuisuka upya ili itende haki.
Ukawa mnaandika lakini? katiba mpya yenye Tume huru ni muhimu kuliko kulinda kura mita miamoja.
Ukawa mnaandika lakini? katiba mpya yenye Tume huru ni muhimu kuliko kulinda kura mita miamoja.