UKAWA wanaona aibu kurusha hotuba za Lowassa

Chilisosi

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2008
Posts
3,050
Reaction score
748
Ndugu zanguni

Nimegundua siku hizi hotuba za Lowassa hazirushwi kabisa kwenye video clips au live tv.

Hii ni uthibitisho kua ukawa wanaona aibu mgombea wao akisikika kwa wananchi kwani kila akiongea hua haeleweki jambo ambalo linapelekea watanzania wengi kuanza kushtuka kwani kama mgombea mwenyewe hawezi kuongea sasa ataliongoza vipi taifa?

Tunawaomba wafuasi wa ukawa mtuletee hotuba za mgombea wenu tusikie habari ya madini makubwa makubwa
 
Kama akizungumza wananchi hawamuelewi wasingejitokeza kwenye mikutano yake makumi kwa maelfu...kumsikiliza.wananchi wameridhika naye.
 
Kitendo cha kujiita Chilisosi kinatosha kutuambia kiwango kidogo cha akili ulichonacho. Wewe na makada wa Twawezeshwa hakuna tofauti yoyote.
 
Last edited by a moderator:
Subiri 25/October ndio utamwelewa vizuri. Wananchi wanataka MABADILIKO hizo blah blah wameshazisikia kwa miaka53 bila maendeleo.
Tukutane 25/October.
 
Kama akizungumza wananchi hawamuelewi wasingejitokeza kwenye mikutano yake makumi kwa maelfu...kumsikiliza.wananchi wameridhika naye.

Wanakuja kusikiliza hotuba, badala yake mgombea anaishia kuwafanyia maonyesho ya mavazi kwa kubadilisha sufuari mkutanoni.
 
Jamani mnataka hotuba gani? wakati mgombea anaongea dk 4,10 kumi amejitahidi sana.Kwanza uongeaji utadhani kafukuzwa na simba.
 
Hatutaki hotuba hatutaki hata aongee tunamtaka tu yeye LOWASA
 
Hatuhitaji hotuba wala push-up, tunamtaka Lowassaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!
 
Click hapa umoune Rais wa awamu ya tano:A S 41:

https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=290282&d=1443009261

Ndugu zanguni

Nimegundua siku hizi hotuba za Lowassa hazirushwi kabisa kwenye video clips au live tv.

Hii ni uthibitisho kua ukawa wanaona aibu mgombea wao akisikika kwa wananchi kwani kila akiongea hua haeleweki jambo ambalo linapelekea watanzania wengi kuanza kushtuka kwani kama mgombea mwenyewe hawezi kuongea sasa ataliongoza vipi taifa?

Tunawaomba wafuasi wa ukawa mtuletee hotuba za mgombea wenu tusikie habari ya madini makubwa makubwa
 
Ndugu zanguni

Nimegundua siku hizi hotuba za Lowassa hazirushwi kabisa kwenye video clips au live tv.

Hii ni uthibitisho kua ukawa wanaona aibu mgombea wao akisikika kwa wananchi kwani kila akiongea hua haeleweki jambo ambalo linapelekea watanzania wengi kuanza kushtuka kwani kama mgombea mwenyewe hawezi kuongea sasa ataliongoza vipi taifa?

Tunawaomba wafuasi wa ukawa mtuletee hotuba za mgombea wenu tusikie habari ya madini makubwa makubwa

Ni aibu tupu hawawezi kuzionyesha.
 
mimi hata sihitaji kumsikiliza wala kuelewa anatafanya nini. kikubwa mi ntamchagua tu. nawewe ni mbishi sasa lkn hadi oktoba 20 utakuwa umebadilika

MABADILIKO NI LOWASA TU.
 
unamzungumzia mzee wa madini makubwa makubwa na madini madogo madogo
 
mimi hata sihitaji kumsikiliza wala kuelewa anatafanya nini. kikubwa mi ntamchagua tu. nawewe ni mbishi sasa lkn hadi oktoba 20 utakuwa umebadilika

MABADILIKO NI LOWASA TU.

Mabadiliko ya madini makubwa makubwa au?
 
Back
Top Bottom