UKAWA wanaona aibu kurusha hotuba za Lowassa

Kwani anaenda ikulu kuongea au kutekeleza majukumu, unataka aongee sana ili adanganye au
 
Lowassa vunja kitasa, vunja kufuli, ingia ndani mwaga pombe. Lowassa tosha.
 
Siku zote nimekuwa nikitafuta hotuba za Lowassa mitandaoni sizipati.
 
Sasa jamani ushasema akiongea haeleweki, alafu bado unawaomba wana ukawa wakuwekee video za hotuba ili usielewe ama??? Unajitekenya mwenyewe na unacheka mwenyewe
 
Ndugu zanguni

Nimegundua siku hizi hotuba za Lowassa hazirushwi kabisa kwenye video clips au live tv.

Hii ni uthibitisho kua ukawa wanaona aibu mgombea wao akisikika kwa wananchi kwani kila akiongea hua haeleweki jambo ambalo linapelekea watanzania wengi kuanza kushtuka kwani kama mgombea mwenyewe hawezi kuongea sasa ataliongoza vipi taifa?

Tunawaomba wafuasi wa ukawa mtuletee hotuba za mgombea wenu tusikie habari ya madini makubwa makubwa

Zumbukuku wewe
 
Kwani television zinazotakiwa kurusha hotuba za Lowasa zinamilikiwa na Ukawa?

Au vile ambavyo TBC hairushi kabisa matukio ya Lowasa, ni maelekezo ya ukawa?
 
Ndugu zanguni

Nimegundua siku hizi hotuba za Lowassa hazirushwi kabisa kwenye video clips au live tv.

Hii ni uthibitisho kua ukawa wanaona aibu mgombea wao akisikika kwa wananchi kwani kila akiongea hua haeleweki jambo ambalo linapelekea watanzania wengi kuanza kushtuka kwani kama mgombea mwenyewe hawezi kuongea sasa ataliongoza vipi taifa?

Tunawaomba wafuasi wa ukawa mtuletee hotuba za mgombea wenu tusikie habari ya madini makubwa makubwa

Huu ndio mfano hai wa kwa nini tuiondoshe CCM madarakani, CCM imewalemaza akili wanazi na washabiki wake. Chilisosi (ingawa ningependa sana kukuita kwa lile jina lingine) naomba nikuulize, kitu gani kunawazuia TBC na vyombo vingine vya habari kuzirusha moja kwa moja hizo hotuba? Vyombo vyenyewe naambiwa vimevihatamiwa na CCM halafu badala ya kuonesha mnachoamini ni upungufu wa mgombea wa Upinzani, mnabaki mkilialia eti hotuba zake mbona hazioneshwi. Hizo kweli ni akili au ndio kushupaa kwenyewe tunakokusikia. Hebu rudi kwa walokutuma uwape ushauri huu wa bure, kwamba kuanzia sasa wajitahidi kuzirusha hizo hotuba moja kwa moja...kama watathubutu sina hakika.
 
Last edited by a moderator:
Kiukweli nikisikiliza hotuba za Mwl Nyerere na za mgombea urais wa chadema/UKAWA ni kama mbingu na ardhi. Hotuba za nyerere hadi leo ukisikiliza unajifunza na unapata maarifa nazimeweza kutunzwa kama kumbukumbu. sasa hizi za mgombea UKAWA kweli tunaweza kuhifadhi kwa wajukuu na watoto wetu? watajifunza nini??
 
Ndugu zanguni

Nimegundua siku hizi hotuba za Lowassa hazirushwi kabisa kwenye video clips au live tv.

Hii ni uthibitisho kua ukawa wanaona aibu mgombea wao akisikika kwa wananchi kwani kila akiongea hua haeleweki jambo ambalo linapelekea watanzania wengi kuanza kushtuka kwani kama mgombea mwenyewe hawezi kuongea sasa ataliongoza vipi taifa?

Tunawaomba wafuasi wa ukawa mtuletee hotuba za mgombea wenu tusikie habari ya madini makubwa makubwa

Jina lako tu ni chilisosi mitaa ya sinza jina hilo maana yake ni shoga duh...
 
uwiiii, hutoelewa kitu mkuu wakileta hizo hotuba maana huwa haeleweki anaongea nini, mara congo drc na zaire, yaani anamix madesa hatari, UKAWA pumzisheni timu maana imechoka sana

Ndugu zanguni

Nimegundua siku hizi hotuba za Lowassa hazirushwi kabisa kwenye video clips au live tv.

Hii ni uthibitisho kua ukawa wanaona aibu mgombea wao akisikika kwa wananchi kwani kila akiongea hua haeleweki jambo ambalo linapelekea watanzania wengi kuanza kushtuka kwani kama mgombea mwenyewe hawezi kuongea sasa ataliongoza vipi taifa?

Tunawaomba wafuasi wa ukawa mtuletee hotuba za mgombea wenu tusikie habari ya madini makubwa makubwa
 
NYIE MNAO ONGEA KWA MIAKA YOTE HII 54 NA HAMJAFANYA LOLOTE??SASA HATUTAKI RAISI MANENO,, TENA IKIBIDI AACHE KABISA KAMPENI KWANI CCM IMEKUWA IKIKAMPENI SANA NA HATA ZIKO WAPI AHADI LUKUKI ZA AJIRA KWA VIJANA,,MELI KANDA ya ZIWA--2010, MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA???SISI SI WATOTO TUNAJIFAHAMU!!!!LOWASA KWANZA NA HAEZI FANYA KAMA CCM ILA KAMA UKAWA!!!!JOIN US IF YOU CANNOT COMPETE US......
 
unamzungumzia mzee wa madini makubwa makubwa na madini madogo madogo

Biashara ya madini umewahi kufanya au unasomewa TBC?kwa taarifa yk Madini madogo na makubwa yk in grams,volumes ,percentages,caretes etc. mshangao upo kwenu wny vipimo vya samaki. Jamaa anamiliki migodi mingi inayoendeshwa kisasa TZ ndio maana ana uwezo wa kuiumbisha CCM na serikali kwa ujumla. Wake up Lazies
 
Ndugu zanguni

Nimegundua siku hizi hotuba za Lowassa hazirushwi kabisa kwenye video clips au live tv.

Hii ni uthibitisho kua ukawa wanaona aibu mgombea wao akisikika kwa wananchi kwani kila akiongea hua haeleweki jambo ambalo linapelekea watanzania wengi kuanza kushtuka kwani kama mgombea mwenyewe hawezi kuongea sasa ataliongoza vipi taifa?

Tunawaomba wafuasi wa ukawa mtuletee hotuba za mgombea wenu tusikie habari ya madini makubwa makubwa
Kama isingelikuwa kuogopa sheria kali za Jamvi hili ningeleta clips,pics na sauti za kinachoendelea kwenye mikutano ya huyu Bwana Mkubwa ni AIBU...
 
Kama akizungumza wananchi hawamuelewi wasingejitokeza kwenye mikutano yake makumi kwa maelfu...kumsikiliza.wananchi wameridhika naye.

id yako ya kujiita mpumbavu inasadifu maelezo yako el hana cha maana hata kidogo
 
Ndugu zanguni

Nimegundua siku hizi hotuba za Lowassa hazirushwi kabisa kwenye video clips au live tv.

Hii ni uthibitisho kua ukawa wanaona aibu mgombea wao akisikika kwa wananchi kwani kila akiongea hua haeleweki jambo ambalo linapelekea watanzania wengi kuanza kushtuka kwani kama mgombea mwenyewe hawezi kuongea sasa ataliongoza vipi taifa?

Tunawaomba wafuasi wa ukawa mtuletee hotuba za mgombea wenu tusikie habari ya madini makubwa makubwa

Fanya utafiti kidogo tu,maraisi wote waliowahi kutawala Tz waliokuwa wanajifanya wanajua sana kuongea kama chiriku wakatiwanaondoka madarakani waliacha nchi ikiwa katika hali gani kiuchumi?kwahiyo raisi kuwa muongeaji sana siyo sifa ya kuwa raisi mzuri kiutawala,wengi wao mwisho wa siku huwa wanaharibu.
 
Jibuni hoja wacheni kutoa matusi mtoa uzi kaeleza kitu cha msingi sana hapa.
 
Back
Top Bottom