Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 13,113
- 12,140
Kama isingelikuwa kuogopa sheria kali za Jamvi hili ningeleta clips,pics na sauti za kinachoendelea kwenye mikutano ya huyu Bwana Mkubwa ni AIBU...
Weka tuone
Kama isingelikuwa kuogopa sheria kali za Jamvi hili ningeleta clips,pics na sauti za kinachoendelea kwenye mikutano ya huyu Bwana Mkubwa ni AIBU...
Ndugu zanguni
Nimegundua siku hizi hotuba za Lowassa hazirushwi kabisa kwenye video clips au live tv.
Hii ni uthibitisho kua ukawa wanaona aibu mgombea wao akisikika kwa wananchi kwani kila akiongea hua haeleweki jambo ambalo linapelekea watanzania wengi kuanza kushtuka kwani kama mgombea mwenyewe hawezi kuongea sasa ataliongoza vipi taifa?
Tunawaomba wafuasi wa ukawa mtuletee hotuba za mgombea wenu tusikie habari ya madini makubwa makubwa
Kiukweli nikisikiliza hotuba za Mwl Nyerere na za mgombea urais wa chadema/UKAWA ni kama mbingu na ardhi. Hotuba za nyerere hadi leo ukisikiliza unajifunza na unapata maarifa nazimeweza kutunzwa kama kumbukumbu. sasa hizi za mgombea UKAWA kweli tunaweza kuhifadhi kwa wajukuu na watoto wetu? watajifunza nini??
Kama akizungumza wananchi hawamuelewi wasingejitokeza kwenye mikutano yake makumi kwa maelfu...kumsikiliza.wananchi wameridhika naye.
Mwl...........................!!!!!!!!!!!!!
Awafanye nini?
Unapigia kura zombie?
Twawezeshwa....hahahahaaaaKitendo cha kujiita Chilisosi kinatosha kutuambia kiwango kidogo cha akili ulichonacho. Wewe na makada wa Twawezeshwa hakuna tofauti yoyote.