UKAWA wamchokoza Rais Magufuli

UKAWA wamchokoza Rais Magufuli

Kurejesha nidhamu kazini
Kudhibiti matumizi ya fedha
Kuokoa fedha zinazotafunwa na watumishi hewa
Kuleta nidhamu katika demokrasia
N.k
Kupandisha bidhaa ambazo jk aliziweza kama sukari
 
Ufipa mapovu yanawatoka sana safari hii mmezoea shortcut , na msizan ndugai atakuja kuwatetea bila kufata Sheria na kanuni, never , .
 
Ufipa mapovu yanawatoka sana safari hii mmezoea shortcut , na msizan ndugai atakuja kuwatetea bila kufata Sheria na kanuni, never , .
Ukichaa siyo kuokota makopo jalalani bali ni pamoja na kuchomekea koti
 
Naamini mkulu anapitaga humu jamvini kwa njia yoyote yaani direct au indirect. Namshauri aisome mijadala ya jf kwa ustawi wa nchi yake. Hakuna majungu humu ni facts tu. Hao washauri wake hebu awapumzishe kidogo kwani wanampotosha. Nina wasiwasi kuwa wana hidden agenda kwani my instincts don't lies me. Siamini kama hii ndio haiba ya mkulu mcha Mungu eti uongozi wake uwe na kasoro nyingi hivi kisha ademand maombi na sala zetu. Hebu ajifungie na kusali rosari siku saba asubuhi na jioni amwombe Mama Bikira amsaidie kumuongoza ili atuongoze vema. Vinginevyo things are worse than he think. Ule muda wa kuisikiliza tv clouds asali ili Mungu ampe zile mbinu alizompa Musa.
Ione ile bajeti itakavyozidi kuwafanya raia maskini kuliko walivyo sasa. Sijui kama anajua kuwa kuna watu wanakula nusu mlo per day na kesho anadesh!?
Na hao wanao kula mlo mmoja wengi ni wapiga kura wake ambao amesema ameutoa mwili wake kuwasaidia
 
Kuthibiti matumizi ya fedha wakati Wizara ya Ujenzi iliyopewa bajeti ya shilingi 191 bilioni katika mwaka wa fedha 2015-2016 yeye kakurupuka na kuhamisha pesa kienyeji toka wizara nyingine bila ya kuwa na idhini ya Bunge na sasa Wizara ya Ujenzi imepokea shilingi bilioni 600 ongezeko la shilingi bilioni 409 ambazo hazikuthibitishwa na Bunge, hilo la wafanyakazi hewa ni usanii tu, huwezi ukasema kuna Wafanyakazi hewa halafu ukashindwa kutoa majina ya hao Wafanyakazi hewa.

Eti kaleta nidhamu katika demokrasi!!! Acha kukurupuka na kuandika pumba wewe! Nidhamu ya kutaka kuwadhibiti Wabunge wa upinzani? Nidhamu ya kuzuia hotuba za wabunge vivuli wa upinzani? Nidhamu kuwafukuza wanafunzi 7,802 UDOM kisha kuzuia mjadala ndani ya Bunge? Angekuwa anataka kuokoa pesa za UMMA kwanza asingepunguza bajeti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Serikali kwa 50% na pia angeifanyia kazi ripoti ya Mkaguzi huyo badala ya kuiacha ipigwe vumbi ndani ya Ikulu.

Kurejesha nidhamu kazini
Kudhibiti matumizi ya fedha
Kuokoa fedha zinazotafunwa na watumishi hewa
Kuleta nidhamu katika demokrasia
N.k
 
tulisema wengine kwenye hoja ya pesa lazima wote waungane si wa ccm si wa ukawa,jana mwenyekiti wa kamati alipinga kukatwa kodi,mbatia naye anapinga vilevile lakini yeye kujihami kaweka kisingizio cha kwanini hao wengine nao wasikatwe pia...................hii inaitwa komoa nikukomoe,ukitaka nife tufe wote,ndio maana ya mbatia.
 
UKAWA hawaeleweki sasa......wamebaki kuhangaika tu............JPM anawanyoosha..........sasa hivi hakuna hata ile mialiko ya kwenda kunywa kahawa ikulu......Poleni sana wanafiki wakubwa nyinyi.
 
Kuthubiti matumizi ya fedha wakati Wizara ya Ujenzi iliyopewa bajeti ya shilingi 191 bilioni katika mwaka wa fedha 2015-2016 yeye kakurupuka na kuhamisha pesa kienyeji toka wizara nyingine bila ya kuwa na idhini ya Bunge na sasa Wizara ya Ujenzi imepokea shilingi bilioni 600 ongezeko la shilingi bilioni 409 ambazo hazikuthibitishwa na Bunge, hilo la wafanyakazi hewa ni usanii tu, huwezi ukasema kuna Wafanyakazi hewa halafu ukashindwa kutoa majina ya hao Wafanyakazi hewa.

Eti kaleta nidhamu katika demokrasi!!! Acha kukurupuka na kuandika pumba wewe! Nidhamu ya kutaka kuwadhibiti Wabunge wa upinzani? Nidhamu ya kuzuia hotuba za wabunge vivuli wa upinzani? Nidhamu kuwafukuza wanafunzi 7,802 UDOM kisha kuzuia mjadala ndani ya Bunge? Angekuwa anataka kuokoa pesa za UMMA kwanza asingepunguza bajeti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Serikali kwa 50% na pia angeifanyia kazi ripoti ya Mkaguzi huyo badala ya kuiacha ipigwe vumbi ndani ya Ikulu.
1465660262309.jpg
 
Bahati nzuri magufuli mwenyewe huwa hachokozeki kirahisi bado watapata shida sana.
 
Kuthubiti matumizi ya fedha wakati Wizara ya Ujenzi iliyopewa bajeti ya shilingi 191 bilioni katika mwaka wa fedha 2015-2016 yeye kakurupuka na kuhamisha pesa kienyeji toka wizara nyingine bila ya kuwa na idhini ya Bunge na sasa Wizara ya Ujenzi imepokea shilingi bilioni 600 ongezeko la shilingi bilioni 409 ambazo hazikuthibitishwa na Bunge, hilo la wafanyakazi hewa ni usanii tu, huwezi ukasema kuna Wafanyakazi hewa halafu ukashindwa kutoa majina ya hao Wafanyakazi hewa.

Eti kaleta nidhamu katika demokrasi!!! Acha kukurupuka na kuandika pumba wewe! Nidhamu ya kutaka kuwadhibiti Wabunge wa upinzani? Nidhamu ya kuzuia hotuba za wabunge vivuli wa upinzani? Nidhamu kuwafukuza wanafunzi 7,802 UDOM kisha kuzuia mjadala ndani ya Bunge? Angekuwa anataka kuokoa pesa za UMMA kwanza asingepunguza bajeti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Serikali kwa 50% na pia angeifanyia kazi ripoti ya Mkaguzi huyo badala ya kuiacha ipigwe vumbi ndani ya Ikulu.
Hawezi kuigusa hiyo ripoti ya CAG, coz inamgusa direct kweli ile meli Chakavu ya bilioni 7.9
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huko tuendako Mkuu Mag3 ni giza nene sana. Mkapa na Kikwete hawakutaka kumteua mgombea msafi kama Augustion Ramadhan ambaye hawakumuamini kama anaweza kuendelea kuwalina kwenye maovu yao mbali mbali walipokuwa madarakani na pia ambaye angeweza kuikubali rasimu ya Warioba na hivyo katiba mpya ya nchi ingetokana na rasimu hiyo.

Hivyo wakahakikisha wanampitisha Baba J.esca sasa ndani ya miezi saba tu tunaona majanga makubwa yanayoanza kujitokeza nchini ikiwemo ubakaji wa demokrasia kwa kiwango cha juu kabisa na Bunge kuendeshwa kwa kutumia remote control toka Ikulu.
Mkuu wewe ndiyo sifuri kabisa kama nyie ndiyo vijana wa chadema hicho chama chenu hakina maisha.
 
Halafu kuna mtu anasema eti kaleta nidhamu Serikalini. Halafu kwa jinsi alivyo na visasi kaamua kupunguza bajeti ya CAG kwa 50%. Sasa utadhibiti vipi ufisadi nchini wakati unampunguzia CAG uwezo wake wa kufanya kazi kwa kukata bajeti yake kwa 50%?

Hawezi kuigusa hiyo ripoti ya CAG, coz inamgusa direct kweli ile meli Chakavu ya bilioni 7.9
 
Nowadays hawa ukawa siwaamini kabisa.. Niliwaamini kipindi cha katiba sasa hivi nawaita ni umoja wa kususa.. Yaani yule dada anawakimbiza kinoma na kanuni kazisimamia hadi wanaombapo
 
Something is wrong somewhere let's keep on waswahili tulisema kuishi nikuona mengi, my dear frnds work hard for ur income and use it well wenzetu walisema `No body knows the feature'
 
tulisema wengine kwenye hoja ya pesa lazima wote waungane si wa ccm si wa ukawa,jana mwenyekiti wa kamati alipinga kukatwa kodi,mbatia naye anapinga vilevile lakini yeye kujihami kaweka kisingizio cha kwanini hao wengine nao wasikatwe pia...................hii inaitwa komoa nikukomoe,ukitaka nife tufe wote,ndio maana ya mbatia.
Husirudie kuwahusisha wabunge wa ukawa na ccm,wabunge wa ccm ni wafia matumbo yao wakati wabunge wa ukawa wao ni mwananchi kwanza mengine baadae
 
Back
Top Bottom