UKAWA wakiingia madarakani, wataanza na haya

shikulaushinye

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2014
Messages
828
Points
250

shikulaushinye

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2014
828 250
Ndugu watanzania, UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI UKWA tukiingia ikulu ndani ya mwezi mmoja tutaanza na haya:-

1. Kufukuza vigogo ambao ni vibaraka wa CCM
2. Kupiga mnada mtambo wa kuangalia mawasiliano ya watu.
3. Kupiga mnada ndege ya Rais
4. Kukamata watuhumiwa wote wa wizi wote kuanzia wale EPA NA ESCROW yaani Manji, Rostam, Mramba, Yona, Lowasa, Mkape, anna, Yona, Ngereji, Tibai, na wengine.
5. Kurudisha nyumba zilizogawiwa bure
 
pepsin

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Messages
3,296
Points
2,000

pepsin

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2015
3,296 2,000
Hakuna kitu muhimu kama kufufua usafiri wa njia ya reli.
Nawausia UKAWA kuwa hili kama kipaumbele cha kwanza kabisa.
 
Independent-Mind

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2015
Messages
712
Points
195

Independent-Mind

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2015
712 195
Na hapa ndipo ninapokosa Imani na chadema,mtu yeyote anaweza kufanya hayo uliyosema akipewa Ikulu,swala je una mipango gani kama vision kuipeleka nchi mbele,ukishafanya hayo uliosema then huna plan za kueleweka zenye vision maana yake nini sasa.Hatutaki viongozi wa kuhudhuria kukata utepe tu.
 
shikulaushinye

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2014
Messages
828
Points
250

shikulaushinye

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2014
828 250
Na hapa ndipo ninapokosa Imani na chadema,mtu yeyote anaweza kufanya hayo uliyosema akipewa Ikulu,swala je una mipango gani kama vision kuipeleka nchi mbele,ukishafanya hayo uliosema then huna plan za kueleweka zenye vision maana yake nini sasa.Hatutaki viongozi wa kuhudhuria kukata utepe tu.

Kwenye strategic management kuna long term plan na short term, hizo tulizozitaja ni short term yaani ndani ya mwezi mmoja, long term ni process ndefu ambayo lazima kushirkisha wadau mbali mbali, mfano tutaunda commission ya wataalamu wa uchumi kuishauri serikali jinsi ya kuinua uchumi, pia commission hii itakuwa ina monitor Benku yetu. commision hii ya wataalamu wa uchumi haitakuwa ya kisiasa itahusisha wataalamu wote bila kuangalia vyama vyao, itashauri na kusimamia wizara ya uchumi na fedha. commission hii itasimamia kutengeneza long strategic plan za uchumi na itakuwa na kufanya evaluation kila baada ya mwaka mmoja kuangalia mile stone/perfomance ya plan. hapa ndiyo kutakuwa na mikakati ya kufufua uchumi, km kufufua shirika la reli, viwanda, umeme, maji, shirika la ndege na kadharika.
 
Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Messages
7,583
Points
2,000

Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2015
7,583 2,000
Hakuna kitu muhimu kama kufufua usafiri wa njia ya reli.
Nawausia UKAWA kuwa hili kama kipaumbele cha kwanza kabisa.
Hicho siyo kipaumbele chao. Wameshataja watakayoanza nayo. Watoto wataendelea kukaa chini mashuleni, huduma bora za afya siyo kipaumbele, wakulima waendelee kukopwa, nk nk nk . Wao ni kudeal na maccccmmm tu.
 
Avatar

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2011
Messages
676
Points
195

Avatar

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2011
676 195
Ndugu watanzania, UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI UKWA tukiingia ikulu ndani ya mwezi mmoja tutaanza na haya:-

1. Kufukuza vigogo ambao ni vibaraka wa CCM
2. Kupiga mnada mtambo wa kuangalia mawasiliano ya watu.
3. Kupiga mnada ndege ya Rais
4. Kukamata watuhumiwa wote wa wizi wote kuanzia wale EPA NA ESCROW yaani Manji, Rostam, Mramba, Yona, Lowasa, Mkape, anna, Yona, Ngereji, Tibai, na wengine.
5. Kurudisha nyumba zilizogawiwa bure
That means utafukuza wakurugenzi wa mashirika yote ya umma, halmashauri zote, 90%ya makamanda na viongozi wa police...
halafu @ the sametime uwashtak mawaziri wote since 1995??

cjui nchi itaenda:confused2:
 
Forum statistics

Threads 1,364,592
Members 520,767
Posts 33,321,519
Top