UKAWA waitisha kikao cha dharura

UKAWA waitisha kikao cha dharura

Hii
Kufuatia hali kuwa tete ndani ya kambi ya UKAWA, viongozi wa vyama vinavyounda umoja huo wanatarajia kukutana kwa dharura kesho kujadili mwenendo wa umoja wao.

Taarifa za ndani ya UKAWA zinasema Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ambaye yupo nchini Marekani atalazimika kurudi haraka nchini na inaelezwa huenda akaingia usiku huu au mapema kesho kwaajili ya kikao hicho cha dharura ambacho kitaamua hatma ya umoja huo.

Mbali na Mbowe, timu yote ya kampeni za mgombea urais na mgombea mwenyewe pamoja na mgombea mwenza wanatarajia kusitisha kampeni na kurudi Dar es Salaam kwa siku ya kesho hadi watakapopata mwafaka wa masuala yanayobishaniwa ndani ya umoja huo.

Taarifa zinasema, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa viongozi wa CUF kulalamikia kutotimizwa kwa makubaliano yaliyofikiwa wakati wanaungana na kupjnga jinsi Chadema wanavyoendesha umoja huo hadi kufikia hatua ya mgombea mwenza wa Chadema Juma Duni kutangaza kujitoa kwenye chama hicho na inaelezwa kikao hicho kitatumika kumuomba asijitoe.

CUF wanalalamikia UKAWA kuendeshwa na mtu mmoja ambaye ni Mbowe badala ya kuendeshwa kama taasisi na amekuwa akichukua maamuzi bila kushirikisha wengine.

"UKAWA ni Mbowe na yeye ndo anaendesha mambo anavyotaka kwa maslahi yake na mkwewe mzee Mtei. Huu ni uhuni ambao tulikuwa tunausikia tu ila leo tunajionea baada ya kuingia ndani" alisema kiongozi mmoja wa CUF ambaye alisisitiza kama Mbowe lengo lake lilikuwa ni kuua CUF amefanikiwa ila dhambi hiyo itamtafuna na watahakikisha Chadema haibaki salama.

Mshaurini anayewaandikia hizi post abadilishebadilishe zisionekane wazi kuwa mmeandikiwa... Hebu kasome ya mwenzako Aisha idd uone, Halafu wote mna status ya member
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahahahaha, nnachofurahi sku zote huwa mnajazba za kuwa defensive, akitajwa mzee choka mnakuwa wekundu, what makes u guys think he z perfect for presidential position? we tz don need such likes of lowassa we need hardworkers , we need MAGUFULI N WE GONNA SHOW YOU GUYS IN OCTOBER
 
CCM...mtaharisha sana, na bado....

CCM kazi kubwa yao ni UONGO, UNAFIKI, WIZI, MAJINGA, MATUMBO, UVIVU WA KUFIKIRI, USHIRIKINA, etc etc

Eg. huyu mtoa mada, akili zake kama MAKA.LIO YA BATA... sbb CCM imemharibu ubongo, ameoza...mfu kabisaa IQ yake..

CCM... ni JANGA LA TAIFA...

CCM out..!!!
 
Kwanini hakuna media house yoyote inafanya pol opinion this election....hiyo ndio sababu inatupa Uhakiaka wa ikulu october
 
Msidanganywe ,kishindo hicho ni kidogo tu kinapita,haitachukua hata mwezi tutayasahau,ilikuwa kina prf na dr,nao tumewasahau,hata wakirudi na kunadi uccm,bado ndo tutawashangaa zaidi kwa uroho wa madaraka,mipango waliopanga ccm imefeli na ukawa imejidhatiti zaidi
 
breaking news:ukawa waitisha kikao cha dharula kesho:

Kufuatia hali kuwa tete ndani ya kambi ya ukawa, viongozi wa vyama vinavyounda umoja huo wanatarajia kukutana kwa dharura kesho kujadili mwenendo wa umoja wao.

Taarifa za ndani ya ukawa zinasema mwenyekiti wa chadema freeman mbowe ambaye yupo nchini marekani atalazimika kurudi haraka nchini na inaelezwa huenda akaingia usiku huu au mapema kesho kwaajili ya kikao hicho cha dharura ambacho kitaamua hatma ya umoja huo.

Mbali na mbowe, timu yote ya kampeni za mgombea urais na mgombea mwenyewe pamoja na mgombea mwenza wanatarajia kusitisha kampeni na kurudi dar es salaam kwa siku ya kesho hadi watakapopata mwafaka wa masuala yanayobishaniwa ndani ya umoja huo.

Taarifa zinasema, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa viongozi wa cuf kulalamikia kutotimizwa kwa makubaliano yaliyofikiwa wakati wanaungana na kupjnga jinsi chadema wanavyoendesha umoja huo hadi kufikia hatua ya mgombea mwenza wa chadema juma duni kutangaza kujitoa kwenye chama hicho na inaelezwa kikao hicho kitatumika kumuomba asijitoe.

Cuf wanalalamikia ukawa kuendeshwa na mtu mmoja ambaye ni mbowe badala ya kuendeshwa kama taasisi na amekuwa akichukua maamuzi bila kushirikisha wengine.

"ukawa ni mbowe na yeye ndo anaendesha mambo anavyotaka kwa maslahi yake na mkwewe mzee mtei. Huu ni uhuni ambao tulikuwa tunausikia tu ila leo tunajionea baada ya kuingia ndani" alisema kiongozi mmoja wa cuf ambaye alisisitiza kama mbowe lengo lake lilikuwa ni kuua cuf amefanikiwa ila dhambi hiyo itamtafuna na watahakikisha chadema haibaki salama.
acha uzushi kijana tumia hata busara basi kuandika propaganda zako na si kukurupuka ...
Hii unatoa taarifa ya kikao na siyo mpasuko maana utaratibu huu wa kukutana umejulikana toka awali hivyo isiwe kigezo cha kuvumisha habari za uwongo kwamba kuna mpasuko wowote..!

.
.
Jamani c.c.m kama lowassa amewashinda nendeni mkampigie magoti atangazwe mapema na si kuanza kuzusha uongo kama huu!
 
ccm...mtaharisha sana, na bado....

Ccm kazi kubwa yao ni uongo, unafiki, wizi, majinga, matumbo, uvivu wa kufikiri, ushirikina, etc etc

eg. Huyu mtoa mada, akili zake kama maka.lio ya bata... Sbb ccm imemharibu ubongo, ameoza...mfu kabisaa iq yake..

Ccm... Ni janga la taifa...

Ccm out..!!!

chief we noma sana baada ya october kitengo cha habari taifa kinakuhusu.....
.
.!!
 
Kufuatia hali kuwa tete ndani ya kambi ya UKAWA, viongozi wa vyama vinavyounda umoja huo wanatarajia kukutana kwa dharura kesho kujadili mwenendo wa umoja wao.

Taarifa za ndani ya UKAWA zinasema Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ambaye yupo nchini Marekani atalazimika kurudi haraka nchini na inaelezwa huenda akaingia usiku huu au mapema kesho kwaajili ya kikao hicho cha dharura ambacho kitaamua hatma ya umoja huo.

Mbali na Mbowe, timu yote ya kampeni za mgombea urais na mgombea mwenyewe pamoja na mgombea mwenza wanatarajia kusitisha kampeni na kurudi Dar es Salaam kwa siku ya kesho hadi watakapopata mwafaka wa masuala yanayobishaniwa ndani ya umoja huo.

Taarifa zinasema, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa viongozi wa CUF kulalamikia kutotimizwa kwa makubaliano yaliyofikiwa wakati wanaungana na kupjnga jinsi Chadema wanavyoendesha umoja huo hadi kufikia hatua ya mgombea mwenza wa Chadema Juma Duni kutangaza kujitoa kwenye chama hicho na inaelezwa kikao hicho kitatumika kumuomba asijitoe.

CUF wanalalamikia UKAWA kuendeshwa na mtu mmoja ambaye ni Mbowe badala ya kuendeshwa kama taasisi na amekuwa akichukua maamuzi bila kushirikisha wengine.

"UKAWA ni Mbowe na yeye ndo anaendesha mambo anavyotaka kwa maslahi yake na mkwewe mzee Mtei. Huu ni uhuni ambao tulikuwa tunausikia tu ila leo tunajionea baada ya kuingia ndani" alisema kiongozi mmoja wa CUF ambaye alisisitiza kama Mbowe lengo lake lilikuwa ni kuua CUF amefanikiwa ila dhambi hiyo itamtafuna na watahakikisha Chadema haibaki salama.
Hii mbona ipo chini ya kiwango,utalipwa book 7 kweli?
 
Mmhh..u@pupu mtupu!

=====

MemberArray

Join Date : 18th August 2015
Posts : 94
Rep Power : 323
Likes Received34
Likes Given2
 
Msidanganywe ,kishindo hicho ni kidogo tu kinapita,haitachukua hata mwezi tutayasahau,ilikuwa kina prf na dr,nao tumewasahau,hata wakirudi na kunadi uccm,bado ndo tutawashangaa zaidi kwa uroho wa madaraka,mipango waliopanga ccm imefeli na ukawa imejidhatiti zaidi

Tehtehteh hivi unachoongea una uhakika nacho au unaongea tu kujifurahisha?! Ukweli ni kwamba ukawa hali ni tete na mbowe ndo kawafikisha hapo.. Sometimes mkubali kupikea ukweli mchungu. . Usijifanye hujaona jana walichokifanya viongozi wa nccr... Au wao sio ukawa?? Na Duni je, kaishia wapi?? Think BIG..
 
Naomba majibu ya kueleweka plz

Ona ulivyo zoba! Mada ulete mwenyewe kama taarifa kisha unataka majibu ya kueleweka. Ukosefu wa elimu wa timu ya propaganda ya ccm sasa unawatia kinyaa hadi wale ambao walikuwa bado hawajaamua mabadiliko na wamo ndani ya ccm.
Hakika nakuambia kwa mwendo huu wa kutojipanga mpaka kufikia 20/Oct ccm itabaki na supporters 1/3 tuu ya waliopo sasa.
Nani anapenda jamii imuone yuko kwenye kundi la wajinga?
 
UKAWA KUWA NA KIKAO CHA DHARURA

Kufuatia hali kuwa tete ndani ya kambi ya UKAWA, viongozi wa vyama vinavyounda umoja huo wanatarajia kukutana kwa dharura kesho kujadili mwenendo wa umoja wao.

Taarifa za ndani ya UKAWA zinasema Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ambaye yupo nchini Marekani atalazimika kurudi haraka nchini na inaelezwa huenda akaingia usiku huu au mapema kesho kwaajili ya kikao hicho cha dharura ambacho kitaamua hatma ya umoja huo.
Mbali na Mbowe, timu yote ya kampeni za mgombea urais na mgombea mwenyewe pamoja na mgombea mwenza wanatarajia kusitisha kampeni na kurudi Dar es Salaam kwa siku ya kesho hadi watakapopata mwafaka wa masuala yanayobishaniwa ndani ya umoja huo.
Taarifa zinasema, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa viongozi wa CUF kulalamikia kutotimizwa kwa makubaliano yaliyofikiwa wakati wanaungana na kupjnga jinsi Chadema wanavyoendesha umoja huo hadi kufikia hatua ya mgombea mwenza wa Chadema Juma Duni kutangaza kujitoa kwenye chama hicho na inaelezwa kikao hicho kitatumika kumuomba asijitoe.
CUF wanalalamikia UKAWA kuendeshwa na mtu mmoja ambaye ni Mbowe badala ya kuendeshwa kama taasisi na amekuwa akichukua maamuzi bila kushirikisha wengine.
"UKAWA ni Mbowe na yeye ndo anaendesha mambo anavyotaka kwa maslahi yake na mkwewe mzee Mtei. Huu ni uhuni ambao tulikuwa tunausikia tu ila leo tunajionea baada ya kuingia ndani" alisema kiongozi mmoja wa CUF ambaye alisisitiza kama Mbowe lengo lake lilikuwa ni kuua CUF amefanikiwa ila dhambi hiyo itamtafuna na watahakikisha Chadema haibaki salama
 
Tatizo ccm mnajitekenya na kucheka wenyewe, Ukawa ni imara mara dufu ya mnavyofikiria, CCM ndio yenye matatizo.
 
Back
Top Bottom