UKAWA waitisha kikao cha dharura

UKAWA waitisha kikao cha dharura

Jamanii ,hzo ni mbinu za wapinzani.Kesho ratiba ya mgombea urais inaonyesha yuko wilaya ya temeke.Sasa ninyi mnakaa mnafatilia huo uzi wa kipuuzi ili aingize chochote kitu hko Lumumba.Pili, kuna uwezekano wakafanya fund rising (ukawa) though sijapata bado taarifa sahihi km itafanyika au hapana.Muanzisha uzi anaelewa ratiba ya mgombea wa Ukawa na ameweza kuwashika wenye mioyo ya kulalamika kila wanapodanganywa.

Huyo anayesema mitaani kuna migogoro,migogoro gani?.Wapinzani wanaanzisha uzi na wanachangia wenyewe kuwachanganya.USIYUMBISHWE MTANZANIA mwaka huu ni mabadiliko tu.Kesho kwa kuwa yuko dar mtaamini kuwa kulikuwa na mgogoro mbona Lowasa alikuwa dar.Tuweni makini jamani,tutapotoshwa na wapinzani turudie makosa.
 
Kuna uzi umerushwa sn jana kwa headings tofaututofauti kuwa Mbowe yuko USA na Slaa.Jamani, hivi mnamjua Mbowe vizuri ?,bahati nzuri walioambiwa kuwa ndio wamempokea Mbowe na Slaa walikanusha mapema.Hiki kipindi tulichoko ni lala salama ,uongo,uzushi nk vitatumika sn kutuvunja moyo.,lkn tukiwa makini hakika hakuna anayeweza kuturudisha nyuma.

Hujakaa ukajiuliza,Magufuli kuanza kung'ang'ania logo ya M4C unadhani ni jambo la kawaida.?,NEC mara ngapi imewaonya wapinzani wa Ukawa kutumia kauli ya kuwahadaa watu kuhusu vita kutokea iwapo Ukawa watapewa nchi.Umesikia ccm wameacha kuitumia pamoja na kukatazwa?.Usikubali kuhadaiwa mtz,jamaa maji ya shingo wanatapatapa tu,chochote wanachoona kinaweza kuwasaidia kuwavushwa lazima wakitumie.MABADILIKO HAYAZUILIKIII,ALUTA CONTINUA...
 
Kufuatia hali kuwa tete ndani ya kambi ya UKAWA, viongozi wa vyama vinavyounda umoja huo wanatarajia kukutana kwa dharura kesho kujadili mwenendo wa umoja wao.

Taarifa za ndani ya UKAWA zinasema Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambaye yupo nchini Marekani atalazimika kurudi haraka nchini na inaelezwa huenda akaingia usiku huu au mapema kesho kwaajili ya kikao hicho cha dharura ambacho kitaamua hatma ya umoja huo.

Mbali na Mbowe, timu yote ya kampeni za mgombea urais na mgombea mwenyewe pamoja na mgombea mwenza wanatarajia kusitisha kampeni na kurudi Dar es Salaam kwa siku ya kesho hadi watakapopata mwafaka wa masuala yanayobishaniwa ndani ya umoja huo.

Taarifa zinasema, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa viongozi wa CUF kulalamikia kutotimizwa kwa makubaliano yaliyofikiwa wakati wanaungana na kupjnga jinsi Chadema wanavyoendesha umoja huo hadi kufikia hatua ya mgombea mwenza wa Chadema Juma Duni kutangaza kujitoa kwenye chama hicho na inaelezwa kikao hicho kitatumika kumuomba asijitoe.

CUF wanalalamikia UKAWA kuendeshwa na mtu mmoja ambaye ni Mbowe badala ya kuendeshwa kama taasisi na amekuwa akichukua maamuzi bila kushirikisha wengine.

"UKAWA ni Mbowe na yeye ndo anaendesha mambo anavyotaka kwa maslahi yake na mkwewe mzee Mtei. Huu ni uhuni ambao tulikuwa tunausikia tu ila leo tunajionea baada ya kuingia ndani" alisema kiongozi mmoja wa CUF ambaye alisisitiza kama Mbowe lengo lake lilikuwa ni kuua CUF amefanikiwa ila dhambi hiyo itamtafuna na watahakikisha Chadema haibaki salama
 
Last edited by a moderator:
Hata kama kuna mgongano kwani ajabu ni nini ? Problem ikitokea lazima solution ipatikane. Kwa hiyo magamba hamuoni jinsi mgombea wenu anavyowehuka hadi CCM imemshitilia mbali?
Magufuli is a mess. Anajigamba Tz ni yake.Vipi hao waliomweka hapo hawajisikii vibaya?

Ukawa ndio mpango mzima. Lowasa ndio rais hata IT zenu za kipuuzi haziwezi kitu hapa milele.
 
Hamna chochote...Mbowe yuko hapahaps Tanzania...Poleni....sana...CCM ...mbinu zinaisha...octoba 25 hiyoooo inakuja....JIJIBUNI WENYEWE KWA WENYEWE....!!@@@Then mkapate mgao LUMUMBA...!
 
Nyie kweli malofa halisi....mnajitungia habari, mnachangia wenyewe....majority join dates ni august na Sept 2015 !!!!
 
Kufuatia hali kuwa tete ndani ya kambi ya UKAWA, viongozi wa vyama vinavyounda umoja huo wanatarajia kukutana kwa dharura kesho kujadili mwenendo wa umoja wao.

Taarifa za ndani ya UKAWA zinasema Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambaye yupo nchini Marekani atalazimika kurudi haraka nchini na inaelezwa huenda akaingia usiku huu au mapema kesho kwaajili ya kikao hicho cha dharura ambacho kitaamua hatma ya umoja huo.

Mbali na Mbowe, timu yote ya kampeni za mgombea urais na mgombea mwenyewe pamoja na mgombea mwenza wanatarajia kusitisha kampeni na kurudi Dar es Salaam kwa siku ya kesho hadi watakapopata mwafaka wa masuala yanayobishaniwa ndani ya umoja huo.

Taarifa zinasema, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa viongozi wa CUF kulalamikia kutotimizwa kwa makubaliano yaliyofikiwa wakati wanaungana na kupjnga jinsi Chadema wanavyoendesha umoja huo hadi kufikia hatua ya mgombea mwenza wa Chadema Juma Duni kutangaza kujitoa kwenye chama hicho na inaelezwa kikao hicho kitatumika kumuomba asijitoe.

CUF wanalalamikia UKAWA kuendeshwa na mtu mmoja ambaye ni Mbowe badala ya kuendeshwa kama taasisi na amekuwa akichukua maamuzi bila kushirikisha wengine.

"UKAWA ni Mbowe na yeye ndo anaendesha mambo anavyotaka kwa maslahi yake na mkwewe mzee Mtei. Huu ni uhuni ambao tulikuwa tunausikia tu ila leo tunajionea baada ya kuingia ndani" alisema kiongozi mmoja wa CUF ambaye alisisitiza kama Mbowe lengo lake lilikuwa ni kuua CUF amefanikiwa ila dhambi hiyo itamtafuna na watahakikisha Chadema haibaki salama

Nawashangaa sana mnajazwa hofu na migogoro ndani ya chama inayotokea sasa. Jambo moja mfahamu uteuzi ukishafanywa na nec hakuna kinachoweza kuvuruga uchaguzi ila kifo pekee tena cha mgombea urais au mgombea mwenza. Naona la muhimu jikiteni kwenye kampeni na mngojee tar 25 mkapige kura kuchagua wagombea mnaowataka. Mnakondeshwa bure na propaganda za mtandaoni. Hata tuseme kwa sasa uongozi wote wa chadema au ccm ungetoka. Kampeni zitaendelea tu kama walioteuliwa wana uwezo wa kuziendesha na kama hawana uwezo wanaweza kaa nyumbani na tar 25 kwa kua majina na picha zao zitakua kwenye karatasi za nec watapigiwa kura.
 
Mkamsaidie magufuri apunguze kuchanganyikiwa.sasa mambo sio shwari kwenye kampeni zake.kabaki kuigilizia tuu.amekosa mwelekeo kabisa.hizo nguvu mnazotumia kuchafua visivyochafuka zitumieni kumsaidia magufuri kama ataambulia kura mbili zimfute machozi.mwaka huu CCM ni kutupwa dampo tuu.
 
Chama kila kukicha ni migogoro, wakubwa wanagawana wenyewe afu shida tunapata sisi wanainchi wa kawaida. Hata tutakuwa makini kutokubali ujinga huu kamwe.

Jana kilifanyika kikao cha dharura Ikulu baada ya Mbatia kumaliza kuhutubia, na walikubaliana yafuatayo;

1. January Makamba amjibu Mbatia ili kupunguza concentration ya watu kwenye hotuba ya Mbatia. (Hili limetekelezwa).

2. Magufuli atumie brand name ya M4C ili kuwachanganya wapiga kura. Wanaamini kuna wapiga kura hawamjui Magufuli lakini wakiambiwa M4C watampigia kura. Hii idea ilitolewa na January. (Hili limeanza kutekelezwa kwa kuchapisha mabango mengi yenye lebo ya M4C wakidai ni Magufuli 4 Change).

3. Mama Maria Nyerere atumike kuongea na mke wa Magufuli ili akubali kuambatana na mumewe kwenye mikutano ya Kampeni. Ikumbukwe mke wa Magufuli (mama Mawalwa) amekataa kuambatana na mumewe kwa sababu anazodai ni za kifamilia. Mama Salma Kikwete, Tunu Pinda na Magreth Sitta (ambao wote ni waalimu) wamejaribu kuongea na mwalimu mwenzao lakini amekataa. So karata ya mwisho iliyobaki ni Maria Nyerere.

4. Dr.Wilbroad Slaa apandishwe jukwaani wiki mbili za mwisho kumnadi Magufuli. Akirudi kutoka Marekani atafanya press aeleze kuwa baada ya kutafakari ameona mgombea anayefaa ni Magufuli. Baada ya hapo ataanza kutembea nae kumnadi huku akitumia hoja ya ufisadi kumchafua Lowassa. Wanaamini hii itapunguza sana nguvu ya UKAWA.

👆👆👆👆
Sambaza kwa wengine ili CCM wajue tumewashtukia na tumejipanga kukabiliana nao. Watanzania wanachotaka ni Mabadiliko sio mbinu.!
 
Mleta uzi ni nyambafu sana nadhani anawashwa ngoja tukuitia vijana wale masaburi yako
 
Chama kila kukicha ni migogoro, wakubwa wanagawana wenyewe afu shida tunapata sisi wanainchi wa kawaida. Hata tutakuwa makini kutokubali ujinga huu kamwe.

Nyie nunueni wooote hadi Mbowe mnunueni lakini EL ANATINGA IKULU HATA AKIBAKI PEKE YAKE; MBINU ZENU CHAFU NDIO KABURI LENU
 
Back
Top Bottom