UKAWA waingia hasara kubwa Harambee Mlimani City!

Wandugu kuna tetesi kuwa UKAWA wameingia hasara kubwa sana katika harambee iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita. Waalikwa waliojitokeza kwa kuchangia Harambee husika walikuwa wachache sana na inasemekana ilipatikana milioni ishirini tu! Gharama za ukumbi peke yake pale !limani City ni milioni 30, na chakula cha waalikwa ilikuwa kama milioni 20.

Kina TAMKO , chakii , TeamLowassa , kbosho , japanese , Watu8 , Mzee kabwelana wengine wengi hawakujitokeza kuchangia.

Hivyo UKAWA imebugi na kuingia hasara kubwa, na hilo ni trailer ya 25 October 2015.

Watalijua Jiji.

Ukawa wanachokifanya pale ni money laundering, ili waingize pesa chafu, ukweli huwezi pata mabilioni kwa staili ile. Hela za mafisadi zinaingizwa sasa.
 
Wandugu kuna tetesi kuwa UKAWA wameingia hasara kubwa sana katika harambee iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita. Waalikwa waliojitokeza kwa kuchangia Harambee husika walikuwa wachache sana na inasemekana ilipatikana milioni ishirini tu! Gharama za ukumbi peke yake pale !limani City ni milioni 30, na chakula cha waalikwa ilikuwa kama milioni 20.

Kina TAMKO , chakii , TeamLowassa , kbosho , japanese , Watu8 , Mzee kabwelana wengine wengi hawakujitokeza kuchangia.

Hivyo UKAWA imebugi na kuingia hasara kubwa, na hilo ni trailer ya 25 October 2015.

Watalijua Jiji.
Ukweli ni kuwa unatamani sana hili jambo lingefanywa na ccm, ila ndo hivyo tena ukawa wapo juu kiubunifu zaidi ya ccm, mnaweza ku-copy pia maana ndo zenu siku hizi
 
Ww ndo ulikuwa muhasibu nn maana unajipachika cheo cha usemaji au unadhihirishwa kuwa bingwa wa kuropoka
 
Kila gazeti limetoa idadi ya hela zake. Majira kivyake, T daima kivyake, Mtanzania kivyake! Sasa sijui nani mkweli!

Ndio faida ya kuwakaribisha mafisadi wajanja UKAWA.
Kwa katibu mkuu wao makini Dr Slaa upuuzi huu ilikuwa haiwezekani.
 
wandugu kuna tetesi kuwa ukawa wameingia hasara kubwa sana katika harambee iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita. Waalikwa waliojitokeza kwa kuchangia harambee husika walikuwa wachache sana na inasemekana ilipatikana milioni ishirini tu! Gharama za ukumbi peke yake pale !limani city ni milioni 30, na chakula cha waalikwa ilikuwa kama milioni 20.

Kina tamko , chakii , teamlowassa , kbosho , japanese , watu8 , mzee kabwelana wengine wengi hawakujitokeza kuchangia.

Hivyo ukawa imebugi na kuingia hasara kubwa, na hilo ni trailer ya 25 october 2015.

Watalijua jiji.

uongo rafiki wakaati wanatoka hewani zilikuwa milion kumi na saba kwenye mtandao achilia mbali zilizokuwa zimeshawasilishwa cash ukumbini millioni thelasini . Pole kwa uongo na leo wametangaza zimefika millioni 80
 
Aisee sikuwahi fikiri una akili chafu mithili ya kinyesi namna hii...

Mlimani City Ukumbi Milioni 30? umewahi fanya Sherehe pale?

Chakula Million 20?

Hivi kwanini CCM inakosa kabisa vijana wenye akili?
Mkuu hawawez hata pambanua mambo... wameambiwa watunge hata uwongo ili wawe na posts nyingi ndo madhara yake haya .... mtu anakurupuka tu... mara lowasa aanza kufilisi watu, mara.... headings nyingi ndani utimbo.... ukumbi wa mliman city 30m uliisha wahi ona wapi??
 
Hahahah ulitaka waseme wamepata mabilioni ili muanze lia lia kuwa ni za wafadhili wa nje
 
Wandugu kuna tetesi kuwa UKAWA wameingia hasara kubwa sana katika harambee iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita. Waalikwa waliojitokeza kwa kuchangia Harambee husika walikuwa wachache sana na inasemekana ilipatikana milioni ishirini tu! Gharama za ukumbi peke yake pale !limani City ni milioni 30, na chakula cha waalikwa ilikuwa kama milioni 20.

Kina TAMKO , chakii , TeamLowassa , kbosho , japanese , Watu8 , Mzee kabwelana wengine wengi hawakujitokeza kuchangia.

Hivyo UKAWA imebugi na kuingia hasara kubwa, na hilo ni trailer ya 25 October 2015.

Watalijua Jiji.

Hiyo ni UKAWA au ni chadema ,hao akina MBATIA babu DUNI wanasindikiza tu wanaume wakipiga hela ,tamasha limeandikwa CHADEMA halafu watu wanasingizia UKAWA
 
Wandugu kuna tetesi kuwa UKAWA wameingia hasara kubwa sana katika harambee iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita. Waalikwa waliojitokeza kwa kuchangia Harambee husika walikuwa wachache sana na inasemekana ilipatikana milioni ishirini tu! Gharama za ukumbi peke yake pale !limani City ni milioni 30, na chakula cha waalikwa ilikuwa kama milioni 20.

Kina TAMKO , chakii , TeamLowassa , kbosho , japanese , Watu8 , Mzee kabwelana wengine wengi hawakujitokeza kuchangia.

Hivyo UKAWA imebugi na kuingia hasara kubwa, na hilo ni trailer ya 25 October 2015.

Watalijua Jiji.

mchango wa Hanspope na marafiki zake ulikuwa milioni 18 na bado akasema wanaendelea kuongeza sasa hasara iko wapi?Kama vp igeni na hyo ninyi si wazee wa kudesa
 
Aisee sikuwahi fikiri una akili chafu mithili ya kinyesi namna hii...

Mlimani City Ukumbi Milioni 30? umewahi fanya Sherehe pale?

Chakula Million 20?

Hivi kwanini CCM inakosa kabisa vijana wenye akili?

kipaumbele cha kwanza elimu cha pili elimu cha tatu elimu mwenyekiti wao ajae ana phd bt hajui rais wa libya na kuwait
 
Wandugu kuna tetesi kuwa UKAWA wameingia hasara kubwa sana katika harambee iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita. Waalikwa waliojitokeza kwa kuchangia Harambee husika walikuwa wachache sana na inasemekana ilipatikana milioni ishirini tu! Gharama za ukumbi peke yake pale !limani City ni milioni 30, na chakula cha waalikwa ilikuwa kama milioni 20.

Kina TAMKO , chakii , TeamLowassa , kbosho , japanese , Watu8 , Mzee kabwelana wengine wengi hawakujitokeza kuchangia.

Hivyo UKAWA imebugi na kuingia hasara kubwa, na hilo ni trailer ya 25 October 2015.

Watalijua Jiji.

Katika watu waliojishusha hadhi Tanzania wewe ni mmoja wao!!

By the way lini kwa mara ya mwisho ulifika Dar? Nakushauri uendelee kupalilia migomba huko Rungwe maana mambo ya mjini ni mziki mkubwa kwako!!!
 
Wandugu kuna tetesi kuwa UKAWA wameingia hasara kubwa sana katika harambee iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita. Waalikwa waliojitokeza kwa kuchangia Harambee husika walikuwa wachache sana na inasemekana ilipatikana milioni ishirini tu! Gharama za ukumbi peke yake pale !limani City ni milioni 30, na chakula cha waalikwa ilikuwa kama milioni 20.

Kina TAMKO , chakii , TeamLowassa , kbosho , japanese , Watu8 , Mzee kabwelana wengine wengi hawakujitokeza kuchangia.

Hivyo UKAWA imebugi na kuingia hasara kubwa, na hilo ni trailer ya 25 October 2015.

Watalijua Jiji.

Inaonekana hukuwa hata unaangalia michango iliyokuwa inaonyeshwa LIVE kwenye sreen (M-pesa, Tigo pesa na Airtel money).. Mpaka naenda kulala, niliishia kuona 17M zikitiririka.. Na kuna watu walishatamka 5M, wa keshi walikuwa wengi sana....

Leo hii nimesikia redioni ikisomwa toka gazetini kuwa walifikisha 80M...

Alikuwa hana taarifa hii sasa wewe umempa. Siku nyingine elewa haya mamburula ya Lumumba yana dodosa kuzoazoa vitu vya kujaza umbea humu. Hakuna haja ya kutoa data zako kwa haya majitu. Jiulize wewe hela zao za kusomba watu na matangazo ya TV wanazitoa wapi?

Yamenyamaza kama yanaumwa.
 
Back
Top Bottom