Mleta mada badili subject andika, Confirmed, Harambee imepata hasara.
Kupata milioni 80 kwa harambee inayomhusisha Lowasa ni kushindwa kwa hali ya juu.
Lowasa anayo sifa moja kubwa, ya kujihusisha sana kwenye harambee hasa za ujenzi wa makanisa na shughuli nyingine za kijamii, kwa rekodi zake, harambee nyingi alizozifanya zimeingiza pesa kuanzia milioni mia na kuendelea.
Sasa, leo hii, anafanya harambee ya kuomba achangiwe yeye, anapata milioni 80, ni hasara kubwa sana.,
Na hii ndio ishara kuwa watu wengi wanaomshabikia sio watu wa vitendo, tukianza na wewe mwana ukawa unayesoma post hii, najua kuwa unashabikia na haujashiriki kwenye harambee hii, na hivyo ndivyo itakavyokuwa siku ya kupiga kura, hawatowapigia kura. Poleni sana wana dubwasha la ukawa,
#HapaKaziTu