UKAWA waingia hasara kubwa Harambee Mlimani City!

UKAWA waingia hasara kubwa Harambee Mlimani City!

Ndugu yangu masopakyindi umefanya watu wapaniki.

Hakuna haja ya kupaniki. Ni lugha ya kifasihi tu inayotumika kuwaonyesha kuwa watu wamepigwa changa la macho na kubadilishiwa gia angani na kamanda wa anga. Usihamaki tafadhali nitaeleza kidogo.

1. Mleta mada anadai kumepatikana hasara; kama kumepatikana hasara kuna atakayehoji matumizi ya michango? HAKUNA!

2. Wote waliopaniki na kuhamaki hakuna hata mmoja anayejua ile harambee ilichangisha shilingi ngapi na hivyo kushindwa kujibu hoja ya mleta mada na kuishia kumwaga matusi.

3. Ni jambo la ajabu kwa harambee iliyotangazwa vila na watu kuchangia kwa njia za kidigitali jumla ya michago isiwekwe wazi na shukrani za dhati isitolewe mpaka sasa. Tafakari na chukua hatua..kama hesabu za kidigitali zinachukua muda mrefu hivi si hesabu za kura ukiwapa hawa watu itachukua miaka miwili?????

4. Fuatilia harambee na michango ya M4C ya Mpesa na Tigo pesa huwa haitangazwi. Kuna tuhuma tu za ndani kwa ndani kuwa wanene wanazipiga na kudai wamejikopesha au wamejilipa..
Vyovyote iwavyo michango ya wanachama inapaswa kutangazwa na kuwekwa wazi.

5. Lowassa ni bingwa wa harambee. Kazifanya nyingi na hata taasisi nyingi za kidini zimemtumia sana kwenye harambee. Matokeo ya harambee hutangazwa mara 1. Hakuna harambee ya Lowassa ambayo makusanyo hayajulikani.

Leo nashangaaa kaingia chadema, kafanya harambee ya kuuomba umma uchangie kampeni zake. Na maombi ya michango yametumia picha yake na yeye ndo alikuwa lengo mahususi la michango hiyo lakni hadi leo, hakuna jumla ya harambee iliyowekwa wazi kwa umma. Sijaona popote. Aliyeona atujuze tafadhali.

Harambee ya Lowassa imekuwa kama ile ya michango ya Mbowe.

6. Mleta mada anacheka kimoyo moyo kuwa waliochanga wamepigwa, tena wamepigwa kwa ule mlalo maarufu wa Lipumba ...yaani malalo wa mende.

Msinipige mawe, mimi sio mweka hazina wa harambee ya Lowassa.

Update:

Hatimaye Tanzania Daima limeripoti harambee imepata shilingi milioni 80.
Ngoja tusubiri tangazo rasmi toka kwa Mbowe mzee wa kubadili gia angani ili tuweze tegua tetesi ya mleta mada
 
Update:

Hatimaye Tanzania Daima limeripoti harambee imepata shilingi milioni 80.
Ngoja tusubiri tangazo rasmi toka kwa Mbowe mzee wa kubadili gia angani ili tuweze tegua tetesi ya mleta mada

Aibu ya haraka zako
 
Aibu ya haraka zako

Ndalama.
Kamanda wa anga bado anabalance shilingi.
Tangu jumapili hadi jumanne, harambee mshiko haujulikani kwa wachangaji???
Harambee spesho hii.
Sidhani kama wamepata hasara kama mleta mada anavyodai ila kinachotangazwa kina walakini..

Safari hii wamelibeba...hadi makamanda wanatangaza harambee
 
masopakyindi
Kwa nn haukwenda kushuhudia mwenyewe mapato yaliyopatikana badala yake unapaza uongo na kutaka upate ukweli hapa?
 
Last edited by a moderator:
Unafikilia ukiandika hvyo ndio tutaacha MABADILIKO..WE ni mwongo zaidi ya mwigulu,kikwete,mkapa na magamba wengine
 
masopakyindi
Kwa nn haukwenda kushuhudia mwenyewe mapato yaliyopatikana badala yake unapaza uongo na kutaka upate ukweli hapa?

Wewe uliyeshuhudia pale ukumbini walitangaza mapato kiasi gani?
Tujuze wanajukwaa tafadhali.
Tuvunje hizi tetesi za mleta mada.
Hali ya hewa inachafuka, na watu kuhamaki na majibu yasiyofaa kwa watu kutofahamu michango ilikuwa kiasi gani.
Tusaidie tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Wandugu kuna tetesi kuwa UKAWA wameingia hasara kubwa sana katika harambee iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita. Waalikwa waliojitokeza kwa kuchangia Harambee husika walikuwa wachache sana na inasemekana ilipatikana milioni ishirini tu! Gharama za ukumbi peke yake pale !limani City ni milioni 30, na chakula cha waalikwa ilikuwa kama milioni 20.

.

Naona umetuambia inavyosemekana tu lakini haujatuambia wewe unachokifahamu "ulichokisikia au kukiona kwa macho yako manake walikuwa live walau kwa dakika kadhaa". Ila kwa upande wangu nilichokiona na kukisikia hiyo milioni 20 unayoisema iliahidiwa na mtu mmoja peke yake ukipenda kumjua jina lake ni Hans Pope. This is JF bwana! Mambo ya FB na Instragram mwachie Mage Kimambi!
 
Update:

Hatimaye Tanzania Daima limeripoti harambee imepata shilingi milioni 80.
Ngoja tusubiri tangazo rasmi toka kwa Mbowe mzee wa kubadili gia angani ili tuweze tegua tetesi ya mleta mada
Mkuu hiyo ni hela nyepesi sana hata kama imepatikana.
Gharama ya shughuli karibia milioni 50-60, sasa ukitoa hiyo unabaki na hela ya njugu.
Haitoshi hata safari moja ya helikopta kwenda Morogoro.
Makamanda wamesusa usanii umefikia ukingoni.
 
nji yenyewe hii inachangiwa adi vyandarua vya futi mbili itakuwa ukawa hiyo sio hoja haina mashiko
 
Wandugu kuna tetesi kuwa UKAWA wameingia hasara kubwa sana katika harambee iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita. Waalikwa waliojitokeza kwa kuchangia Harambee husika walikuwa wachache sana na inasemekana ilipatikana milioni ishirini tu! Gharama za ukumbi peke yake pale !limani City ni milioni 30, na chakula cha waalikwa ilikuwa kama milioni 20.

Kina TAMKO , chakii , TeamLowassa , kbosho , japanese , Watu8 , Mzee kabwelana wengine wengi hawakujitokeza kuchangia.

Hivyo UKAWA imebugi na kuingia hasara kubwa, na hilo ni trailer ya 25 October 2015.

Watalijua Jiji.

CCM walivyokosa ubunifu na kukosa kufikiri, sitoshangaa pale watakapo DESA kwa kuandaa harambee yao Uwanja wa Taifa ama Viwanja vya Sabasaba. Hakika CCM kwa sasa hawana jipya zaidi ya kuigilizia kutoka CHADEMA tu;
 
Wewe uliyeshuhudia pale ukumbini walitangaza mapato kiasi gani?
Tujuze wanajukwaa tafadhali.
Tuvunje hizi tetesi za mleta mada.
Hali ya hewa inachafuka, na watu kuhamaki na majibu yasiyofaa kwa watu kutofahamu michango ilikuwa kiasi gani.
Tusaidie tafadhali

Mjuzwe ili iwasaidie nini?kwani mlijuzwa twiga kupanda ndege au mlishtukia tu kashaondoka?
 
Cash zaidi ya shs 80mil Joz 1
 
Last edited by a moderator:
Wandugu kuna tetesi kuwa UKAWA wameingia hasara kubwa sana katika harambee iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita. Waalikwa waliojitokeza kwa kuchangia Harambee husika walikuwa wachache sana na inasemekana ilipatikana milioni ishirini tu! Gharama za ukumbi peke yake pale !limani City ni milioni 30, na chakula cha waalikwa ilikuwa kama milioni 20.

Kina TAMKO , chakii , TeamLowassa , kbosho , japanese , Watu8 , Mzee kabwelana wengine wengi hawakujitokeza kuchangia.

Hivyo UKAWA imebugi na kuingia hasara kubwa, na hilo ni trailer ya 25 October 2015.

Watalijua Jiji.

Umekosea, walipata laki 2 na elfu ishirini na 3 na mia2 kumi na 6 na senti 7
 
Wewe ni malaya wa kisiasa kwani hautaki wakati unajionyesha adharani tena changudoa shut up mwenyewe,mambo ya ukawa yanakuhusu nini unakua kama demu ambae ameachwa na mwanaume ambae bado anampenda!sikiliza we changu wa kiume matusi ndio size yako bila matusi hautoboi hehe.

Agola,

Mwenye matusi hana hoja.
Afu matusi yenyewe ya kizamani.
Nikirusha yangu utaenda msalani mara tatu ghafla.

Ila mie sio mpumbavu kama wewe nakuacha ujiadhiri mwenyewe.

Unazidi kujifunua "nyeti" zako na kuonyesha upeo wa upumbavu wako kwa kaupepo ka "kaswali" kadogooo.
 
Sawa hata akitoa zaidi lakini ndizo zilizopatikana. masopakyindi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom