Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,552
- 30,780
Kama hilo ni kweli kuwa licha ya kushindwa kupata kitu cha maana kutokana na harambee, hiyo pesa ya chopa tano imetoka wapi?Tumeishiwa ehh kweli ndo maana tumeamia kutokutumia usafiri wa ardhi bali tutatumia chopa tano..
Kwa Lowassa au?
Au ni ule mchezo unaoongelewa wa utakatishaji fedha chafu, harambee ilikuwa cover tu!