UKAWA waingia hasara kubwa Harambee Mlimani City!

UKAWA waingia hasara kubwa Harambee Mlimani City!

utamaduni una domo la choo kama wabunge wawili. mmoja wa dodoma na mwingine wa singida. pole wewe na ccm yako unayopigania upate uwaziri ambao nina hakika utaukosa mwaka huu kwani kwenye kashfa ya EPA ya benki kuu kuna viashiria kuwa ulipata mgao. hasara ni kutoa bilioni kwa mtu ukitegemea kuungwa mkono na usipate wa kukuuunga mkono. milioni themanini kama wewe unaziona ni kidogo na ni hasara subiri oktoba 25 ndio utajua kuwa malofa na wapumbavu katika ubora wao hawana pesa nyingi lakini wanavyo vichinjio vya kuing'oa ccm madarakani.
Mleta mada badili subject andika, Confirmed, Harambee imepata hasara.

Kupata milioni 80 kwa harambee inayomhusisha Lowasa ni kushindwa kwa hali ya juu.

Lowasa anayo sifa moja kubwa, ya kujihusisha sana kwenye harambee hasa za ujenzi wa makanisa na shughuli nyingine za kijamii, kwa rekodi zake, harambee nyingi alizozifanya zimeingiza pesa kuanzia milioni mia na kuendelea.

Sasa, leo hii, anafanya harambee ya kuomba achangiwe yeye, anapata milioni 80, ni hasara kubwa sana.,

Na hii ndio ishara kuwa watu wengi wanaomshabikia sio watu wa vitendo, tukianza na wewe mwana ukawa unayesoma post hii, najua kuwa unashabikia na haujashiriki kwenye harambee hii, na hivyo ndivyo itakavyokuwa siku ya kupiga kura, hawatowapigia kura. Poleni sana wana dubwasha la ukawa, #HapaKaziTu
 
Wandugu kuna tetesi kuwa UKAWA wameingia hasara kubwa sana katika harambee iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita. Waalikwa waliojitokeza kwa kuchangia Harambee husika walikuwa wachache sana na inasemekana ilipatikana milioni ishirini tu! Gharama za ukumbi peke yake pale !limani City ni milioni 30, na chakula cha waalikwa ilikuwa kama milioni 20.

Kina TAMKO , chakii , TeamLowassa , kbosho , japanese , Watu8 , Mzee kabwelana wengine wengi hawakujitokeza kuchangia.

Hivyo UKAWA imebugi na kuingia hasara kubwa, na hilo ni trailer ya 25 October 2015.

Watalijua Jiji.

Wameenda wapi wale marafiki zake matajiri?
 
Hapo hakuna cha harambee wala nini, zile ni kutoka kwa akina mamvi
 
utamaduni unadomo

Ninao kweli ndugu yangu aligawee, na Hapa sijaanza kuongea, nimelala
Kubebwa, mbebwe nyinyi
Kujiny**, mjiny** nyinyi
Kupandishwa jukwaani, mpandishwe,
Kulala majukwaani, mlale nyinyi

#HapaKaziTu
 

Attachments

  • 1442933874865.jpg
    1442933874865.jpg
    34.6 KB · Views: 559
Ivi kwan kuchangia iliishia pale?naamini bado watu wanachangia yaani jinsi ulivyowaza ni kama una akili ya mait
 
Kwani Mbowe alizipeleka benki zikaote riba , au alizitumia kukodi machopa na kuzungukia Tz.
Kama wangekuwa na hizo pesa basi harambee ya nini?

Naamini mabo si shwari UKawa.
Bulungutu limekatika na mfadhili mkuu, mgombea urais kastuka hatoi tena noti.

Sasa hivi ataanza kudandia na kupiga kampeni kwenye daladala tena.

IQ zetu ni ndogo kabisa. Inakuja sawa kwenye ubongo wako mtu ambae mwezi uliopita ulisema amehonga sh bilioni 4 ili apewe nafasi ya kuwania urais akose fedha ya kufanya kampeni ya ule ugombea ''alionunua'' (kwa bilioni 4) mwezi mmoja tu baadae? Does it make sense?
 
walioongelea kujiny** ni ninyi hivyo mmejiny** ninyi sasa mnazusha kwa wengine, wanaobebwa ni ninyi tunaona media zote na dola kwa ujumla wake hata ahali msipokubalika mnaletewa watu na malori kutoka mikoa mingine, uongo wa kwamba mgombea anapandishwa jukwaani kamdanganye mkeo tu au CCM wenzako kwani ingekuwa anapandishwa mikono yake isingekuwa wazi vile. na hiyo unayodai ni bahasha ya mke wa lowassa labda tusaidie wewe kuwa umeweka pesa kiasi gani halafu mama Regina akawa anazigawa..nimekuhakikishia kuwa wewe utakuwa domolachoo angalia unatuletea mambo ya pushapu kama kigezo. ngoja mgombea wetu akuonyeshe akiwa GYM halafu mtafute hoja nyingine ya kidomolachoo
Ninao kweli ndugu yangu aligawee, na Hapa sijaanza kuongea, nimelala
Kubebwa, mbebwe nyinyi
Kujiny**, mjiny** nyinyi
Kupandishwa jukwaani, mpandishwe,
Kulala majukwaani, mlale nyinyi

#HapaKaziTu
 
IQ zetu ni ndogo kabisa. Inakuja sawa kwenye ubongo wako mtu ambae mwezi uliopita ulisema amehonga sh bilioni 4 ili apewe nafasi ya kuwania urais akose fedha ya kufanya kampeni ya ule ugombea ''alionunua'' (kwa bilioni 4) mwezi mmoja tu baadae? Does it make sense?
Kwanzan watu wenye IQ wameondoka wamejiunga na UKAWA!!!!
Ingawaje inaelekea ni IQ za panzi.
Halafu ni viwavi ile mbaya, ile 4b, imesha kwisha , sijui nawe ulipata mgawo?

Pil,i mwezi mmoja wa kampeni ni muda mrfu sana, haihitaji sana ninyi wenye IQ kuelewa kuwa jamaa wamerosti.
Isingekuwepo haja ya kufanya harambee!
Upo hapo?
 
Kwanzan watu wenye IQ wameondoka wamejiunga na UKAWA!!!!
Ingawaje inaelekea ni IQ za panzi.
Halafu ni viwavi ile mbaya, ile 4b, imesha kwisha , sijui nawe ulipata mgawo?

Pil,i mwezi mmoja wa kampeni ni muda mrfu sana, haihitaji sana ninyi wenye IQ kuelewa kuwa jamaa wamerosti.
Isingekuwepo haja ya kufanya harambee!
Upo hapo?
Kufanya harambee sio kuishiwa bali ni kushirikiana na kukagawana majukumu. Hata matajiri wakubwa huwa wanafanya harambee. Tofautisha kati ya fedha binafsi na fedha za chama. Hata vyama vikubwa kabisa vyenye matajiri wanaoongoza duniani hufanya harambee! Akili zako ni ndogo.
 
Wanatakatisha feza chafu afu watu mnashabikia, poleni sana.
 
Aisee sikuwahi fikiri una akili chafu mithili ya kinyesi namna hii...

Mlimani City Ukumbi Milioni 30? umewahi fanya Sherehe pale?

Chakula Million 20?

Hivi kwanini CCM inakosa kabisa vijana wenye akili?

Ndugu usiniaibishe bana,

Kwani hujui CCM ni cha cha mavilaza hawafikirii lolote wanakariri tuuu, wanasubiri uwaze, useme nao waige kwa kukopi na kupesti.

Achana na hao vitambaa watatambua 25th Oct 2015.
 
Kufanya harambee sio kuishiwa bali ni kushirikiana na kukagawana majukumu. Hata matajiri wakubwa huwa wanafanya harambee. Tofautisha kati ya fedha binafsi na fedha za chama. Hata vyama vikubwa kabisa vyenye matajiri wanaoongoza duniani hufanya harambee! Akili zako ni ndogo.

Mtawadanganya vilaza wa bavicha......eti kufanya harambee si kuishiwa!!!
Sasa wanafanya harambee kujifurahisha nfsi zenu halafu mkenue meno au vipi!

Ni akili pungufu tu utaweka msingi wa milioni 50-60 halafu ukaingia kupata milioni 20 tu za ziada kwa effort isiyo ya kawaida.
Kama mnaiga kunya kwa tembo , yaani vyama vya ulaya, hawaishii kupata peanuts kama walivyopata CDM.

Na kama hiyo akili ya kibavicha ndo mnaiita IQ nzuri, basi mi naiita ni ya ki panzi panzi.
 
Tumeishiwa ehh kweli ndo maana tumeamia kutokutumia usafiri wa ardhi bali tutatumia chopa tano..
 
Back
Top Bottom