UKAWA waanza kuchangisha fedha baada ya ukata Mkali

UKAWA waanza kuchangisha fedha baada ya ukata Mkali

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
11949409_1622147358044308_298384558978835413_n.jpg


Hii ndiyo kazi ya CHADEMA fedha za ruzuku zote zimeliwa na wanazidi kuwakamua wanachama wao kwa kuwaaminisha kuwa chama masikini wakati ruzuku tuu wanayopokea miaka yote hiyo hata kiwanja wala ofisi waliyojenga hawana .

Ni ngumu sana kukupeni nchi wakati fedha za ruzuku tuu hamjazitumia kimaendeleo, mwenyekiti anajikopesha na hakuna anayehoji chochote.


UKAWA jipangeni kwanza tuonyesheni uwezo wenu wa kuwa na nidhamu katika matumizi ya ruzuku kwanza ndipo sasa tunaweza sema mnaweza kuliongoza Taifa hili
 
Mtoa mada...👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👊👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👎👎👎👎👎👎
 
Mtoa mada...
11891055_996591457059347_8396289135613475928_n.jpg
 
CCM nyinyi si mnaomba kisiri siri kwa wahindi kwa ahadi ya kuwasamehe kodi kubwa sana, sisi tunachangisha wananchi kwa uwazi kwani hatuna agenda ya siri kubomoa taifa
 
Sasa wewe jamaa yangu kinakuuma nini? Kama vipi na wewe wa ccm chukua bakuri uanze kuzunguka nalo mtaani uone kama mtu anaweza akajishoboa kwa wa ccm wakupe hata mia
 
Let us go back, majengo na rasilimali za ccm zote ni kabla ya vyama vingi, mining nguvu yetu imo humo
 
Hamjajipanga vizuri kitengo cha propaganda, kupost thread zaidi ya kumi haimaanishi ndo utakuwa unaweza propaganda saaaaana mpaka uwafurahishe mabosi wako, ila kinachotakiwa ni contents tuu ili uweze kuwanasa wale wasio na vyama, ingependeza kuhubiri Sera na ilani ya chama. Bado namkumbuka sana Tambwe Hiza, Mkuu wa Polisi Mahita enzi za visu vya CUF, hao ndo walikuwa wanajua maana ya propaganda haswaaa. Sasa nyie mnashindana thread na post nyingi as if mnalipwa kutokana na thread mnazoanzisha kukiponda chama Fulani.


Amkeni, Wapiga kura wengi hawana chama, wanataka Sera mbadala.
 
kuchangisha hela mara nyingine huwa ni mbinu ya kuwafanya wachangiaji wawe na uchungu na chama chao na huwafanya kuwa karibu zaidi na chama kiasi kwamba hata wakiambiwa kuandamana wanaenda, so hii husaidia kujenga commitment ya kweli kwa wanachama hata sisi tunakuwa wakali kwa serikali yetu maana tunatoa kodi;chochote mtu anachochangia huwa kinamuuma
 
Sasa wewe jamaa yangu kinakuuma nini? Kama vipi na wewe wa ccm chukua bakuri uanze kuzunguka nalo mtaani uone kama mtu anaweza akajishoboa kwa wa ccm wakupe hata mia
CCM wamejipanga na sio kama UKAWA wanaofuta mkumbo wa EL. Hivi mmesha weka mkakati wa Kampeni au bado mnakula keki ya birthday.
 
Back
Top Bottom