Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
JE, MATANGAZO YA MAKONDA CH.10 ULE SIO UNAFIKI?
NI CHUI KUVAA NGOZI YA KONDOO!
YAMEWASHINDA MIAKA 50 LEO MNASHINDANA NA UKAWA?
KAMA CCM WANAUME NA MNAJITAMBUA NA AKILI PEVU KUILINGANISHA NA YA UKAWA FANYENI HAYA:
#Zimeni Mwenge na uperekwe makumbusho.
#Futeni wakuu wa Mikoa na Wilaya.
#Rudisheni Rasimu Tume ya Katiba yenye maoni ya wananchi.
Na Solomon Kambarangwe
24/04/2016
Nifuateni hadi mwisho!
Ndugu wananchi wenzangu, leo tung'amue fikra na tutanue akili zetu kuhusu unafiki na undumilakuwili unaofanywa na serikali ya ccm jijini Dar.
Jiji la Dar ni lango la Tanzania na kiini cha uchumi wa nchi.
Hivyo serikali ilitakiwa kuhakikisha inaweka mazingira bora ya kuchochea uchumi kukua ila kinyume serikali ya ccm kwa miaka yote imekuwa ikiliterekeza jiji la Dar es Salaam kimaendeleo kwa kutokuweka vipaumbele ambavyo ni muhimu kukuza uchumi na kuvitekereza.
Kwa kufanya hivyo serikali ya ccm imesababisha miaka yote jiji la Dar liwe jiji la kalaha na mateso kwa wananchi na wageni kutoka mataifa mbalimbali.
Maeneo ambayo awamu zote za serikali ya CCM imeshindwa kuyafanyia kazi kwa kuzingatia umuhimu wa Jiji la Dar kwa uchumi wa Tanzania ni yafuatayo:
i)Msongamano wa magari.
ii)Ujenzi holela uliosababisha mafuriko,uchafu n.k
iii)Ukosefu wa maji safi ya uhakika na ya kutosha
iv)Huduma mbaya sana za afya
v)Huduma mbovu ktk sekta ya elimu&Afya
vi) Ukosefu wa ajira na mikopo kwa vijana na vikundi vya akina mama.
vii) Urasimu uliokithiri
viii) Rushwa iliyokithiri
ix) Ufisadi/ufujaji wa mali za umma na kuondoa fedha ktk mzunguko.
x) Ukandamizaji wa wanyonge hasa vijana wa BodaBoda,Mamantilie, Wamachinga and the like bila kuwapa suruhu ya wao kuendelea kujiajili.
xi)Ukosefu wa umeme wa uhakika
Hayo serikali awamu 5 za ccm zimeshindwa kutatua hata moja ila baada ya UKAWA kushinda na kuongoza jiji la Dar es Salaam ndipo wanajitokeza na kudai wanataka kuwaletea maendeleo Wana-Dar es Salaam.Unafiki na uongo mkubwa!
Hii leo baada ya kupigwa teke na wananchi ndipo wanajitokeza na kudai wanaweza, huo ndio unafiki na danganyatoto maana mtaji wa ccm ni kudanganya.
Tabia ya ccm haifi na daima ccm ni ile ile. Haibadiriki.
MABADILIKO KUPITIA CCM HAYAWEZEKANI
Ukawa tulieleza wananchi kuwa tutawaletea mabadiriko.Miongoni mwa mambo tuliyodhamilia kutekereza kufanikisha mabadiriko ni:
#Kuunda katiba mpya na bora
#Kufuta wakuu wa mikoa na wilaya kupuguza ukubwa wa serikali
#kupunguza ukubwa wa serikali kuu hasa wizara na kuondoa nafasi za watendaji zisizo la lazima.
# kuzima mwenge na kuupereka ktk jumba la makumbusho.
#kutunga sheria na sera mpya na bora kwa ajili ya maendeleo ya wananchi.
Haya yangetekerezwa na serikali mpya yangeperekea kuzaliwa kwa Tanzania mpya yenye muundo mpya wa serikali unaoondoa gharama zote zisizo za lazima na yenye sera na sheria mpya kumkomboa raia
CCM na Magufuri wenu kama mnaiga Ukawa, igeni ukawa ccm ife. Maana mnajifanya mnaweza kumbe ni maigizo tu.
#Zimeni Mwenge
#Futa wakuu wa wilaya na mikoa
#Rudisheni Rasimu ya Katiba ya wananchi
Fanyeni hayo kama ni wanaume mnataka kujipima ubavu na ukawa
Badili mfumo tuone. CcM ni janga!
KUHAHA KWA CCM&MAKONDA DAR NI KUTAPATAPA
Hii leo ccm Dar kupitia kada wao Makonda wakijaribu kushindana na UKAWA nawaona wanatapatapa kinafiki na utapeli tu wa kisiasa
Nawashauri watulie wanyolewe vizuri. Hizo vurugu za kisiasa kwa mwamvuli wa maendeleo kwa Wana Dar es Salaam ni utapeli wa kisiasa.
Hii leo baada ya UKAWA kushinda jiji na manispaa za Kinondoni na Ilala ndipo wananchi wa Dar wamewapendeza ccm ili muwahangaikie kuwachangishia ili kununua madawati na kujenga madarasa?
Ccm kweli hamna haya!
SWALI
Kwanini mwananchi analipa kodi muendelee kumuomba achangie hizo harambee?
Kwanini ccm mmpewe lasilimali zote za nchi mshindwe kuletea wananchi maendeleo msubili hisani ya michango? Hamuoni mmeishashindwa? Mkae kimya mfundishwe kazi muache kutapatapa.
Kama mnataka kuigiza ukawa kwanini msiigize vigezo vya mabadiliko nilivyovitaja hapo juu?
Kama sio unafiki nini?
FAIDA KWA WANANCHI KWA KUPUNGUZA UKUBWA WA SERIKALI KWA KUFUTA WAKUU WA WILAYA NA MIKOA
Kufuta Wakuu wa Wilaya
Tanzania tuna mikoa 31 na wilaya 167.
Makadilio ya chini ya gharama za uendeshaji wa ofisi ya Mkuu wa Wilaya
(a) Mshahara kwa mwezi
=5,000,000/- X167
=835,000,000/-
Yaani Watz wanagharimia mishara ya wakuu wa wilaya kwa mwezi mmoja ni Tshs.835,000,000/- kwa kadilio la Mlioni 5 kwa mwezi kwa kila mkuu wa Wilaya
Kwa mwaka ni
835,000,000 X 12
= 10,020,000,000/-
Kwahiyo Watz wanalipa wakuu wa Wilaya 10,020,000,000/- kwa kadilio la Mil.5 kila mkuu wa wilaya kwa mwezi.
(b)Manunuzi ya mafuta ya magari ya wakuu wa Wilaya
Kadilio la Lita 600 kwa gari la Mkuu wa Wilaya 1 kwa mwezi na Lita 1950/
600 X1950
=1,170,000/- kwa kila mkuu wa wilaya kwa mwezi
1170,000 X 167
=195,390,000/-
Hiyo ni gharama ya petrol ya wakuu wa wilaya wote kwa mwezi.
Kwa mwaka
195,390,000 X 12
=2,344,680,000/-
(c)Makadilio ya posho ya kujikimu wakati wa kazi,mawasiliano, nauli kwa ajili ya safari ya mbali na perdiem
Kadilio kwa Kila mkuu wa Wilaya ni 500,000/ kwa mwezi
500,000 X 167
=83,500,000/- kwa mwezi
83,500,000X 12
=1,002,000,000/-
Hiyo ni gharama kwa mwaka kwa ajili ya hayo mambo madogo madogo
d) Matengenezo kwa mwezi makadilio ni 400,000/- kwa mwezi
400,000 X 167
=66,800,000/
Kwa mwaka
12 X 66,800,000
=801,600,000/-
(e) Gari la kila mkuu wa Wilaya
Kadilio la gharama ya kila gari la Mkuu wa Wilaya ni Mil.70,000,000/-
70,000,000 X 167
=11,690,000,000/-
Kwahiyo Jumla kuu ni:
25,858,280,000/-
Hapo ni wakuu wa wilaya tu.
Kumbuka kuna:
#wakuu wa mikoa 31
#RAS 31
#Mayor 31
#RPC 31
#RSO 31
#RIO 31
Hao wote ni gharama na mzigo kwa wananchi na gharama zao haziko mbali sana na wakuu wa mkoa. Tofauti itakuwa haifiki 30% chini ya wakuu wa mikoa.
Mbali na DC Wilayani kuna:
#M/kiti wa Halmashauri 167
#DAS -167
#DCO -167
#DSO -167
#DPC -167
#DMA -167
#DIO -167
Tofauti na Mayor au wenyeviti wa halmashauri,wengine wote ni maafisa wa serikali wanaoteuliwa.
Kwanini tuwe na RAS na Mkuu wa Mkoa kwa wakati mmoja?
Au DAS (Mkurugenzi wa Wilaya)na Mkuu wa wilaya wakati mmoja?
Obviously wakuu wa mikoa na wilaya ni polital figures wasio na tija kabisa na ni mzigo tu kwa umma unaofanya kazi za ccm.
Ilitakiwa mkuu wa mkoa achaguliwe na atekereze majukumu anayotekereza RAS sasa, vivyo hivyo DAS upande wa Wilaya.
Lakini pia kuondoa idara zisizo za lazima na kuziunganisha na zinazoendana kimajukumu.
Kwahiyo ili kuondoa mzigo wa serikali kubwa UKAWA tungefanya hayo.
Gharama hizo zikiepukwa hakutakuwa na haja ya michango wala kusumbua wananchi kutoa michango wakati wanalipa kodi, na wananchi hawataishi maisha ya taabu.
Wana ccm wanapoigiza kuwa wanataka kuwaletea wana Dar es Salaam maendeleo, Je Watz mikoa mingine hawasitahili kuhudumiwa?
CCM wajue kuwa uigizaji na ubabaishaji wao kutafuta huruma ya wana Dar hausaidii wananchi bali ni wao kuendelea kuamini kuwa wananchi ni wajinga na hawaelewi ila ukweli ni kuwa CCM kamwe haina nia ya kumwondoa mwananchi ktk umasikini.
Kama wangekuwa na nia, viongozi mizigo kwa raia wangewaondoa ili fedha zielekezwe kutatua kero za wananchi (HUO NDIO MPANGO NA NIA YA UKAWA)
Mfano hizo gharama kwa Wakuu wa Wilaya pekee kwa mwaka 1 zingeweza kufanya mambo makubwa sana kuondolea wananchi kero mbalimbali ila zinatumika eneo lisilo la lazima ambalo ukawa tungelifuta na hizo fedha kuelekezwa kwa wananchi.
25,858,280,000/- zinazotumika kwa wakuu wa Wilaya zingeweza kufuta kero za elimu Tz nzima sio Dar pekee kama:-
#madawati
#madarasa
#Vitabu
#vyoo
#maji
Kwa serikali ya ccm hiyo fedha itaelezwa ni ndogo kutokana na wizi uliojaa ktk mfumo wa chama hicho ilainatosha kufanya makubwa sana.
Gharama za mkuu wa wilaya mmoja kwa mwaka ni takribani
154,840,000/-
Kwahiyo wakuu wa mikoa 31 kwa kadilio hilo hilo
154,840,000 X 31
4,800,040,000/- kwa mwaka gharama ya wakuu wa mikoa wote 31.
(Note: gharama za gari hazijirudii kwa miaka minne inayofuata)
Kutokana na mchanganuo huo tunagharimia wakuu wa Wilaya na mikoa kwa jumla ya takribani ya Tsh. Bil.30 kwa mwaka bila sababu.
Fedha hizo zinaweza kutatua kero ambazo zimekuwa janga kwa wananchi miaka yote 54 sasa ccm ikiwa madarakani.
Kutokana na ccm kukumbatia ufisadi na kutwisha wananchi mizigo hiyo ya wakuu wa wilaya na mikoa kama sehemu ya utapanyaji wa fedha za umma, wamesababisha majanga ya kijamii kama
#Uchafu uliokithiri
#miripuko ya magonjwa
#Panya road
#bomoabomoa n.k
Kwa hiyo, ccm wanakuwa wanafiki na waongo kujinasibu kuwa wanajali ilihali mfumo na matendo yao kamwe hawajali wananchi bali wao wameweka kipaumbele kuibia umma na kugawana vyeo.
MAENDELEO YATAKAYOPATIKANA DAR NI MATOKEO YA USHINDI WA UKAWA
Ni dhahiri kuwa ukawa sera yetu ni wananchi kwanza.
Mbinu zote za UKAWA kutafuta mapato na kutekereza miradi ya maendeleo zinalenga wananchi wote kwa kipekee walio masikini hata yaliyowashinda ccm toka uhuru hadi leo yatatatuliwa