Hali ngumu UKAWA, sasa wanachangisha fedha

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
[h=3]MICHANGO ISHAANZA KIDOGO KIDOGO KWA UKAWA[/h]

11949409_1622147358044308_298384558978835413_n.jpg

Hii ndiyo kazi ya chadema fedha za ruzuku zote zimeliwa na wanazidi kuwakamua wanachama wao kwakuwaaminisha kuwa chama masikini wakati ruzuku tuu wanayopokea miaka yote hiyo hata kiwanja wala ofisi waliyojenga hawana .

Ningumu sana kukupeni nchi wakati fedha za ruzuku tuu hamjazitumia kimaendeleo mwenyekiti anajikopesha na hakuna anayehoji chochote

Ukawa jipangeni kwanza tuonyesheni uwezo wenu wa kuwa na nidhamu katika matumizi ya ruzuku kwanza ndipo sasa tunaweza sema mnaweza kuliongoza Taifa hili
 
MICHANGO ISHAANZA KIDOGO KIDOGO KWA UKAWA

Mnajua mnazidi kututia hasira nyie MACCM...!! Hivi nyie si tumewakabidhi nchi, mbona MADINI YETU yanaondoka na watoto wetu bado wanakaa chini... twiga waziwazi, tembo wanauawa na bado wakinamama wanalala chini hospitalini.... Kuna gesi mmeshawauzia wachina. leo mnakomaa na CHADEMA wakichangisha fedha za kampeni..

Suala la kuwachangia CHADEMA liacheni kwa wananchi.. Nyie CCM mtujibu miaka 54 kwanini hatuna maji, hospitali hakuna dawa ili tuwaamini tena tuwape nchi...

Hizi blaablaa zenu zinatutia hasira na kuzidi kuichukia CCM
 
Kwisha Habari yako
 
Back
Top Bottom