tshabalala_the_greto
JF-Expert Member
- Mar 5, 2014
- 452
- 229
Dah! Inasikitisha sana lakini tutafanyaje kwani ndiyo hali halisi sasa,WATU HAWATAKI KABISA KUSIKIA CHOCHOTE KUHUSU SISIEM.
kama leo.ingekuwa siku ya uchaguzi mgombea gani ungemchagua...naomba andika jina tu.
Naomba sana uzi huu usifutwe..sbb najua unaweza kufutwa...tunataka ukweli..sbb waliomo jf ni zaidi ya hao waliwoojiwa na twaweza....hapa ni ukweli tu
Wapigakura hawaijui jf
Lowasa ataongoza kwa 99%.Aya sasa shangilia tuachane na twaweza.