UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
wapiga kura wz kweli hawana access na internet, na humu watu wana id zaidi ya moja na wengi humu ni wavivu wanaosubiri kuletewa chakula mezani bila kufanya kazi!
HAUTOPATA ALAMA SAHIHI ZAIDI YA KUJIFURAHISHA!
 
kama leo.ingekuwa siku ya uchaguzi mgombea gani ungemchagua...naomba andika jina tu.


Naomba sana uzi huu usifutwe..sbb najua unaweza kufutwa...tunataka ukweli..sbb waliomo jf ni zaidi ya hao waliwoojiwa na twaweza....hapa ni ukweli tu

Lowassa
 
Kama huu ni utafiti basi ni kama ule wa Mayocoo, inawezekana una ukweli lakini hautoi tafsiri ya kweli ya aina ya wapiga kura.
 
kama leo.ingekuwa siku ya uchaguzi mgombea gani ungemchagua...naomba andika jina tu.


Naomba sana uzi huu usifutwe..sbb najua unaweza kufutwa...tunataka ukweli..sbb waliomo jf ni zaidi ya hao waliwoojiwa na twaweza....hapa ni ukweli tu

lowasa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom