yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,225
- 4,906
Na serikali za CCM huendeshwa kwa kodi za pombe!!!
Hahahahaha hata tafiti za twaweza zimefanywa na wanywa pombe (walevi)
Na serikali za CCM huendeshwa kwa kodi za pombe!!!
Na ndo wengi sana hao walevi maana 90 % ya wabongo walevi
Na ndo wengi sana hao walevi maana 90 % ya wabongo walevi
Na hawana uwezo wa kufikiri
kama leo.ingekuwa siku ya uchaguzi mgombea gani ungemchagua...naomba andika jina tu.
Naomba sana uzi huu usifutwe..sbb najua unaweza kufutwa...tunataka ukweli..sbb waliomo jf ni zaidi ya hao waliwoojiwa na twaweza....hapa ni ukweli tu