UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
Lowasaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Lowasa will be over after 25th night...the new players in the field will emerged..na nchi itaenda ccm..ndio ukweli huo
 
Toa sababu ya kumchagua Lowassa., mimi natoa za kumchagua Magufuli.

Sababu za kumchagua MAGUFULI.
1. Magufuli ni mchapa kazi nadhani wizara ya ujenzi unaiona jinsi ilivyo kuwa mbele"

2. ni mtu asie na kundi lolote na huwa anasimama yeye kama yeye katika kila linalo muhusu"

3. kielimu huwezi fananisha Magufuli na Lowassa sababu Magufuli ni mkemia lakini lowassa ni msanii maana degree yake ni ya sanaa''

4. Anaposimama jukwaani anaeleza kitu kwa mifano hai na kwa kusisitiza na huwezi fananisha sera zake na mgombea wa ukawa ambae hawezi hata kueleza back ground ya maisha yake ndani ya siasa .

5. chama chake magufuli alicho toka bado hakija farakana hivyo nijambo jepesi hata kuunda baraza la serikali mpya na haiwezi fananishwa na ukawa ambapo wanaotegemewa wamekikimbia chama na kubakiza watu wasio waelewa maana hata nyumba kumi hawawezi kuongoza hivyo utajikuta baraza linajazwa na akina mnyika wasio na kauli wala nidhamu hata wawapo bungeni hii inatukumbusha kuwa tukiwapa utawala ukawa basi serikali itapambwa na mafisadi waliokimbia ccm.

Nawewe toa sababu ya kumchagua loassa "

Mi natoa sababu 1 kwa nini simchagui lowassa.

1. Kwa sababu anajinyea.
 
Huna adabu gamba ww Peleka ujinga huko Lowasa ndo Rais wako
 
Hovyo kbs. Poor analysis tusubirie trh 25

wenzako wanakwambia hivi hawana hoja ya msingi ila wanachotaka ni ccm itoke. atakama rais kazi ya itakuwa ni kulala tu ikulu potelea mbali ila tu ccm itoke. siunamuona huyo hapo juu!!
 
Ndugu zangu watanzania naomba tufanye opinion poll hapa kwa wagombea hao wawili
Andika unaeona anafaa kuwa rais wako
Please msiandike maneno mengi wewe andika moja kati ya MAGUFULI au LOWASA

****PLEASE MODERATOR MSITOE UZI HUU
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom