UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
2010 Dr.Slaa alipata 70 % humu Jf mkasababisha akaazime Mke wa Mtu awe First lady, matokeo kutoka mkamdanganya kaibiwa kura. Akavimba Kichwa sana Mwaka huu mnamwambia Utafiti wa kisayansi unaonesha hawezi kushinda kachanganyikiwa.

You are so weak to make analysis...!!! very weak...!!!

Lowassa ni TOFAUTI KABISA na Dr. Cassava... tofauti kubwa sanaaa...

Lowassa atashinda sbb WANA CCM wengiiiiii mamilioni plus Wana UKAWA wengiiiii mamilioni WATAMPIGIA KURA... hii ndio tofauti kubwa sana moja...!!!

Pili jua hili, Lowassa hata kabla akiwa CCM, kura za maoni mbali mbali, ALIKUWA ANAONGOZA SANAAAA... hata ww unajua hili, kila KURA ZA MAONI akiwa CCM bado wala hajaja ukawa LOWASSA alikuwa mbele sanaaaa....!!! kuwa anaongoza kushinda URAIS...

Mungu akafanya maajabu sasa KUPITIA viongozi wa UKAWA, wakiongozwa na Kamanda Mbowe, Mbatia... Lowassa akatua Ukawa, baada ya kukatwa na CCM... yaani ni SAWA UMFUNGIE CHUMBA KIMOJA SIMBA MWENYE NJAA NA MBUZI... au LOWASSA KWENDA UKAWA ndio KURA ZAKE ZIMEONGEZEKA mara dufu, na umaarufu wake umeeongezeka MARA 100%...

Sasa kura za wana CCM plus wana UKAWA... hapo ndio RAIS anachaguliwa mapemaaaaa....!!!

Jua yale mafurikoooo ni ya wana nchi woteeee, wana UKAWA na CCM...

So, Lowassa kushinda ni RAHISI sana, kuna kila DALILI akapata KURA NYINGI SANAAA SANAAAA
 
Baada ya October 25 utakuja na analysis strong kuonesha jinsi alivyoibiwa kura
 
Kumbe wameifuta... daaah..

JF siku hizi imeshakuwa CCM tupu...

Ila mwisho wao CCM mwezi ujao...

Sasa, watamfutaje Lowassa ktk mioyo ya watanzania...?

Maana, SIONI hata Mkoa mmoja CCM kushinda mwaka huu... hata mmoja..!!

Lowassa, anasubiria kuapishwa tu...

Jana Dodoma, ambao ni mkoa wa CCM umemaliza kazi, MAFURIKO YA JANA DODOMA, CCM wameshakubali....!

Hali ya CCM iko ICU... ila wenyewe hawataki kusikia, au kuona haya...!!!

CCM wanalijua hili na ndio maana hii poll ya JF wameitoa maana sio wao walioianzisha kwa hiyo wanashindwa kupiga kabao ka kidole na kuibadilisha .... yale yale ya mwaka 2010.

kimenuka Lumumba na wanajua hilo

Baada ya mkutano wa Lowasa dodoma jana, jamaa wamechanganyikiwa ndo maana leo wana hasira sana
 
Kumbe wameifuta... daaah..

JF siku hizi imeshakuwa CCM tupu...

Ila mwisho wao CCM mwezi ujao...

Sasa, watamfutaje Lowassa ktk mioyo ya watanzania...?

Maana, SIONI hata Mkoa mmoja CCM kushinda mwaka huu... hata mmoja..!!

Lowassa, anasubiria kuapishwa tu...

Jana Dodoma, ambao ni mkoa wa CCM umemaliza kazi, MAFURIKO YA JANA DODOMA, CCM wameshakubali....!

Hali ya CCM iko ICU... ila wenyewe hawataki kusikia, au kuona haya...!!!

misisiemu inamsumbua sana Max

Dogo yuko fit na yuko fair ila misisiemu imemkalia sana kooni. Ilifikia hatua hadi ikalazimisha one of them awe mod wa hii forum

ccm ni janga la kitaifa kama ebola, kipindupindu na dengue
 
tulia dozi ikuingie

ccm mmetawala hii forum hadi mnaondoa poll ambayo inaonesha mmeshindwa

Chin na wanalumumba wenzake wanaanzishi nyuzi karibu mia hapa za kisisiemu na zinaachwa ila ikianzishwa ya ukawa inaunganishwa na zingine

na mtaelewa tu maana hatuendi kokote .... tutawabana hapa hapa
Nawapongeza Mamod kwa kumfungia Chin tena wangempiga ban ya maisha , alikuwa anaishushia JF hadhi yake kwa kuweka habari za uwongo tupu 100%.
 
Nimefanya utafiti wa kutosha.Asilimia 72 (72%) ya polls za Chadema facebook., ni kutokana na account zilizofunguliwa kuanzia August 2015.
Nimepata info za ndani kuwa ni mpangomkakati wa IT department ya Chadema kuuhadaa umma kuwa wanakubalika.Watu maalum wameajiriwa kufungua account nyingi fake !!
Tukutane October 25.
 
ukichoka, unaweza ungana na wenzako hapa

profilepic256717_1.gif
 
Nawapongeza Mamod kwa kumfungia Chin tena wangempiga ban ya maisha , alikuwa anaishushia JF hadhi yake kwa kuweka habari za uwongo tupu 100%.

hiyo ya kumfungia chin ni unafiki tu

jamaa wamesemwa mpaka wameona aibu

Chin yupo humu kwa jina lingine na anaendelea yaleyale
 
Baada ya October 25 utakuja na analysis strong kuonesha jinsi alivyoibiwa kura

Again, hujui hata MISINGI YA MABADILIKO.... or what shows people are committed to MAKE CHANGE YOU DON'T SEE AT ALL... you are so WEAK i told you...!!!

Prof. Lipumba kaondoka, CCM ilijua UKAWA itayumba, ndio ikawa very strong, still Lipumba kaondoka peke yale kwa aibu, anaonekana msaliti mkubwa..

Dr. Slaa kaondoka, it is obvious CCM walijua hapo UKAWA itayumba, bahati MBAYA ndio KAONEKANA Dr. Mihogo... Dr. Maharage... meaning amedharauliwa sanaaa, na hata maswali alishindwa kujibu...na mbaya zaidi USALITI wa Dr. Slaa uko wazi sanaaa, kuwa alishirikiana na CCM, wazi kabisaa hata yeye kakiri KUSHIRIKIANA NA CCM, meaning USALITI WAKE UKO WAZI... na kaondoka mwenyewe UKAWA.. only himself... CCM again wamebugi sana hapa... hawakutarajia hilo..

Sasa, CCM imeshindwa kuwagawa WANANCHI kupitiwa hao LIPUMBA, Slaa
.. na WANANCHI wameamua KUPAMBANA KUANGUSHA CCM... hawajali nani ataondoka UKAWA... sijui kama unaelewa ww MAGAMBA, maana kuelewa it needs patience, and ALLOW TRUTH to enter ur mind...

So, CCM kila mbinu imefeli... so WANANCHI WAMEAMUA WENYEWE... washachoka na maisha haya... na madhambi ya CCM ndio HUKUMU yao... sio Lowassa wala nani...ni MADHAMBI YA CCM, ndio sasa wananchi wanatoa HUKUMU na Unaona sasa... Hata CCM inunue wasaniiiii wooote haitasaidia.. ni bureee... WANANCHI SASA HIVI wanajua kila kitu...

Nadhani ULIONA uwanja wa Taifa weekend hii NINI KILITOKEA KIPINDI cha HALF TIME... UWANJA MZIMA ULILIPUKA....

Mabadilikoooo.... Lowasssaaaaa

Lowassa... Mabadilikoooo...

Peopleeeees.... Powaaaaaa

Huku wakimzomea J. Makamba...

na NGUVU KUBWA YA LOWASSA, like NUCLEAR BOMB imetua UKAWA... sasa piga mahesabu...

So, jua kua analyse vitu vizuri, acha upopoma wa MAGAMBA...

CCM sioni hata MKOA MMOJA KUSHINDA MWAKA HUU...sioni...!! hata ile mikoa ya Dodoma, Tanga, Moro imekuwa UKAWA sasa, wakimfuata Lowassa... hata hujui naongea nn ww Magamba....

Jipeni moyo...!!!
 
misisiemu inamsumbua sana Max

Dogo yuko fit na yuko fair ila misisiemu imemkalia sana kooni. Ilifikia hatua hadi ikalazimisha one of them awe mod wa hii forum

ccm ni janga la kitaifa kama ebola, kipindupindu na dengue

Afadhali ya KIPINDUPINDU, EBOLA, DENGUE kuliko CCM,

CCM ni JANGA la TAIFA...!!
 
Hii imekuwa kawaida katika chaguzi zote zilizopita,
Huwa wapinzani wanakuwa na mihemko sana huku ccm wakiwa watulivu na kusubiri kushangaza kwa kupiga kura.
 
JF poll:

Lowassa / Ukawa .... 85.19%

Magufuli / CCM........ 13.88%

Mayocoo

Lowassa......... 81%

Magufuli.......... 18%

Jiulizeni.... huko Facebook, Insta, What's up groups mbali mbali....👇👇👇

Lowassa average yuko .. 80 and above

Magufuli.... yuko ...... 20% or less

Hizi ni OPINION POLLS, sio rasmi, but INATOA PICHA KUBWA SANAAAAAAAAAAAAAAA kujua nn kinaendelea, msomi huhitaji kujua nani mshindi hapo ikiwa imebakia siku 43 tu kupiga kura...

Hata kama kutakuwa na % errors... itakuwa ndogo sana...

Hali ni ngumu sanaaaa CCM, ila wao HAWAKUBALI NA HAWATAKI KUONA HAYA....!!!

Sasa zimebaki siku 43... watashangaaa

Taifa lipo gizani kisa Tanesco wanafanya jaribio ya gesi ya ushuzi
Kidumu Chama Cha Mapinduzi !!!
 
Hii imekuwa kawaida katika chaguzi zote zilizopita,
Huwa wapinzani wanakuwa na mihemko sana huku ccm wakiwa watulivu na kusubiri kushangaza kwa kupiga kura.

kujifariji pia ni dozi nzuri ya asili
 
Taifa lipo gizani kisa Tanesco wanafanya jaribio ya gesi ya ushuzi
Kidumu Chama Cha Mapinduzi !!!

CCM ni JANGA KUU la TAIFA...

TANESCO, pamoja na mashirika karibu 80% ya serikali yapo ICU....!!!

Ni kwa sbb tu TANESCO iko ktk umeme ndio tunaona uozo wake haraka, ila mashirika mengi yako ICU kwa kweli... eg ATC, UDA ndio imeibiwa wazi wazi, TRL na mabehewa feki, MSD wizi wa madawa, ARV FEKI, BANDARI... etc etc...

Yaani CCM ni janga kuu letu sote...!!
 
Nimefanya utafiti wa kutosha.Asilimia 72 (72%) ya polls za Chadema facebook., ni kutokana na account zilizofunguliwa kuanzia August 2015.
Nimepata info za ndani kuwa ni mpangomkakati wa IT department ya Chadema kuuhadaa umma kuwa wanakubalika.Watu maalum wameajiriwa kufungua account nyingi fake !!
Tukutane October 25.

Mafuriko hadi facebook
Ha ha ha hii kali
 
Siku zote ninyi huwa mnashinda huku mitandaoni, lakini kwa wananchi hamuambulii kitu.

Makamanda wakali wa JF kina Ben Sanane na yule mwenzie...
Walinyukwa kura za maoni mpaka inatia huruma.
Mitandaoni ni wakali kuliko Fidel Castro...kwa wananchi chali kabisa.
Bado kamanda Yeriko..siku akigombea atajuta..
 
Hii nchi kweli ina vituko. Tunakaribia katikati ya kampeini, hakuna poll hata moja ambayo imewekwa wazi. Wale waliokuwa wa kwanza kutoa maoni mwaka huu wote ziiiiii
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom