UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
Polls hazisaidii sana, maana CCM inasubiri kushindwa tu kwenye sanduku la kura kwingine kote wameshindwa.
 
Wanabodi,

kulikuwa na poll hapa kwa wasomaji wa JF kupiga kura (mara moja tu) kuonesha chaguo lao kwenye uchaguzi wa mwaka huu.

Mpaka mada hiyo inafungwa kwa sababu zisizojulikana, UKAWA walikuwa wanaongoza kwa kura zaidi ya asilimia 80.

Haijajulikana bado ni kwa nini ile poll imetolewa ila nina theories zifuatazo:

1. ccm wamechukia kwa vile walikuwa wamegalagazwa vibaya sana so wametoa kitisho kwa mdogo wetu Max

2. Kuna hila ya kuanzisha poll nyingine ambayo watai-controll wenyewe ili waweze kupika matokeo

====nina wasiwasi namba mbili inaelekea kwenye ukweli====

Angalizo kwa wanaukawa,

ikianzishwa poll mpya hapa, ikataeni na mlazimishe ile ya zamani ifunguliwe ili wananchi waendelee kupiga kura,

mabao ya mikono hadi jamiiforum? this is too much
Siku zote ninyi huwa mnashinda huku mitandaoni, lakini kwa wananchi hamuambulii kitu.
 
Warudishe ile ya mwanzo,Wakianzisha mpya hiyo itakuwa ya nape na makonda
 
Warudishe ile ya mwanzo,Wakianzisha mpya hiyo itakuwa ya nape na makonda

huo ndio mpango uliopo

kama ulikuwepo 2010, utakumbuka kilichotokea kwenye poll ya JF siku za mwisho za kuelekea uchaguzi
 
lowassa. yule mwingine watu wanakwenda kuona wasanii na thecomedy hamna kitu.
 
Wewe ukiwa mwanafunzi mwalimu anafundisha dakika nbili,sema wewe mwenyewe mtihani ukija unategemea matokeo ya aina gani kama hakuna makitaba ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom