UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
Duu Baraza la vichaa chadema (Bavicha) na story za wendawazimu zisizo na kichwa wala miguu. Fankuuro. Tatizo hawa jamaa wa Jf ukiandika mambo ya kweli kuisulubu Ukawa au Lowassa wanafuta lakini mambo ya kizushi na ya kipuuzi kama haya yanapewa baraka. Fankuuuro
 
2010 Dr.Slaa alipata 70 % humu Jf mkasababisha akaazime Mke wa Mtu awe First lady, matokeo kutoka mkamdanganya kaibiwa kura. Akavimba Kichwa sana Mwaka huu mnamwambia Utafiti wa kisayansi unaonesha hawezi kushinda kachanganyikiwa.
 
Wanabodi,

kulikuwa na poll hapa kwa wasomaji wa JF kupiga kura (mara moja tu) kuonesha chaguo lao kwenye uchaguzi wa mwaka huu.

Mpaka mada hiyo inafungwa kwa sababu zisizojulikana, UKAWA walikuwa wanaongoza kwa kura zaidi ya asilimia 80.

Haijajulikana bado ni kwa nini ile poll imetolewa ila nina theories zifuatazo:

1. ccm wamechukia kwa vile walikuwa wamegalagazwa vibaya sana so wametoa kitisho kwa mdogo wetu Max

2. Kuna hila ya kuanzisha poll nyingine ambayo watai-controll wenyewe ili waweze kupika matokeo

====nina wasiwasi namba mbili inaelekea kwenye ukweli====

Angalizo kwa wanaukawa,

ikianzishwa poll mpya hapa, ikataeni na mlazimishe ile ya zamani ifunguliwe ili wananchi waendelee kupiga kura,

mabao ya mikono hadi jamiiforum? this is too much
 
Duu Baraza la vichaa chadema (Bavicha) na story za wendawazimu zisizo na kichwa wala miguu. Fankuuro. Tatizo hawa jamaa wa Jf ukiandika mambo ya kweli kuisulubu Ukawa au Lowassa wanafuta lakini mambo ya kizushi na ya kipuuzi kama haya yanapewa baraka. Fankuuuro

tulia dozi ikuingie

ccm mmetawala hii forum hadi mnaondoa poll ambayo inaonesha mmeshindwa

Chin na wanalumumba wenzake wanaanzishi nyuzi karibu mia hapa za kisisiemu na zinaachwa ila ikianzishwa ya ukawa inaunganishwa na zingine

na mtaelewa tu maana hatuendi kokote .... tutawabana hapa hapa
 
2010 Dr.Slaa alipata 70 % humu Jf mkasababisha akaazime Mke wa Mtu awe First lady, matokeo kutoka mkamdanganya kaibiwa kura. Akavimba Kichwa sana Mwaka huu mnamwambia Utafiti wa kisayansi unaonesha hawezi kushinda kachanganyikiwa.

tulia tu dozi itakolea muda si mrefu na Dr ambaye sasa kageuka rafiki yenu
 
JF poll:

Lowassa / Ukawa .... 85.19%

Magufuli / CCM........ 13.88%

Mayocoo

Lowassa......... 81%

Magufuli.......... 18%

Jiulizeni.... huko Facebook, Insta, What's up groups mbali mbali....👇👇👇

Lowassa average yuko .. 80 and above

Magufuli.... yuko ...... 20% or less

Hizi ni OPINION POLLS, sio rasmi, but INATOA PICHA KUBWA SANAAAAAAAAAAAAAAA kujua nn kinaendelea, msomi huhitaji kujua nani mshindi hapo ikiwa imebakia siku 43 tu kupiga kura...

Hata kama kutakuwa na % errors... itakuwa ndogo sana...

Hali ni ngumu sanaaaa CCM, ila wao HAWAKUBALI NA HAWATAKI KUONA HAYA....!!!

Sasa zimebaki siku 43... watashangaaa
 
JF poll:

Lowassa / Ukawa .... 85.19%

Magufuli / CCM........ 13.88%

Mayocoo

Lowassa......... 81%

Magufuli.......... 18%

Jiulizeni.... huko Facebook, Insta, What's up groups mbali mbali....

Lowassa average yuko .. 80 and above

Magufuli.... yuko ...... 20% or less

Hizi ni OPINION POLLS, sio rasmi, but INATOA PICHA KUBWA SANAAAAAAAAAAAAAAA kujua nn kinaendelea, msomi huhitaji kujua nani mshindi hapo ikiwa imebakia siku 43 tu kupiga kura...

Hata kama kutakuwa na % errors... itakuwa ndogo sana...

Hali ni ngumu sanaaaa CCM, ila wao HAWAKUBALI NA HAWATAKI KUONA HAYA....!!!

Sasa zimebaki siku 43... watashangaaa

CCM wanalijua hili na ndio maana hii poll ya JF wameitoa maana sio wao walioianzisha kwa hiyo wanashindwa kupiga kabao ka kidole na kuibadilisha .... yale yale ya mwaka 2010.

kimenuka Lumumba na wanajua hilo

Baada ya mkutano wa Lowasa dodoma jana, jamaa wamechanganyikiwa ndo maana leo wana hasira sana
 
Huko FB ndo shida. Jiwe na Magufuli. Jiwe lililamba 95%.
Lakin mwisho wa yote ni 25th oct.
 
2010 Dr.Slaa alipata 70 % humu Jf mkasababisha akaazime Mke wa Mtu awe First lady, matokeo kutoka mkamdanganya kaibiwa kura. Akavimba Kichwa sana Mwaka huu mnamwambia Utafiti wa kisayansi unaonesha hawezi kushinda kachanganyikiwa.

Chaggadema na Bavichaa hawana akili timamu kabisa maana mtu yeyote atatukanwa. Dr.W.Slaa hatawasahau.Kutoka Rais wa mioyo ya watanzania mpaka kuitwa DR MIHOGO.Duh....
 
Last edited by a moderator:
Chaggadema na Bavichaa hawana akili timamu kabisa maana mtu yeyote atatukanwa. Dr.W.Slaa hatawasahau.Kutoka Rais wa mioyo ya watanzania mpaka kuitwa DR MIHOGO.Duh....

tulia dozi ikuingie

mapovu ya nini

Naona baada ya nyomi ya jana dodoma leo vijana wa buku saba lumumba mna mapovu kibaoo

Mwambie Nape akununulieni mtori mtulie kidogo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom