UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
Mimi sio mpenzi was Siasa na sina chama lakini nina utashi. Alipopitishwa Magufuli na CCM basi nikasema urais ntampa Magufuli na nafasi zingine Chadema ila baada ya Chadema kumchukua Lowassa nikaona kama nimesalitiwa hivi. Hivyo nafasi zote nitatoa CCM kwani najua mabadiliko yanaweza kuletwa na mtu yeyote na chama chochote lakini mabadiliko ya kweli na mabadiliko chanya yataletwa na CCM tu kwa sasa kwani naamini wengine bado hawana mifumo mizuri. Kesho na kesho kutwa tutaambiwa mambo mengine kwani wenzetu wanabadilika kama vinyonga.so ile credibility yao inatia shaka.
 
Chadema hawana shukrani, dk slaa ndo kawaweka mjini Leo wanamuona kikaragosi. Hugo mbowe alipogombea 2005, aliambulia aibu, slaa ndo kawabeba 2010. Hawa akina 'onyesha sehemu hela iko' hatari sana.
 
sisi tunaojitambua tunasema ukawa tumaini letu.Hata ukawa wangeweka jiwe tungepigia kura jiwe kuliko ccm ktk mfumo uleule.
 
Kwa disgn hii nipigie CCM KURA NTAKUA MWEHU
 
Attachments

  • 1441352850321.jpg
    1441352850321.jpg
    62.3 KB · Views: 95
Chadema hawana shukrani, dk slaa ndo kawaweka mjini Leo wanamuona kikaragosi. Hugo mbowe alipogombea 2005, aliambulia aibu, slaa ndo kawabeba 2010. Hawa akina 'onyesha sehemu hela iko' hatari sana.

Acha ushabiki ulitaka apewe nn xx tupe majibu,, ata upadri na familia alivikimbia soo sio ajabu
 
Mimi sio mpenzi was Siasa na sina chama lakini nina utashi. Alipopitishwa Magufuli na CCM basi nikasema urais ntampa Magufuli na nafasi zingine Chadema ila baada ya Chadema kumchukua Lowassa nikaona kama nimesalitiwa hivi. Hivyo nafasi zote nitatoa CCM kwani najua mabadiliko yanaweza kuletwa na mtu yeyote na chama chochote lakini mabadiliko ya kweli na mabadiliko chanya yataletwa na CCM tu kwa sasa kwani naamini wengine bado hawana mifumo mizuri. Kesho na kesho kutwa tutaambiwa mambo mengine kwani wenzetu wanabadilika kama vinyonga.so ile credibility yao inatia shaka.

Kwa kila aliyesaliti wananchi kuhusu katiba mpya ni MSALITI mkubwa!! Maendeleo bila katiba ya wananchi ni fujo!! kura UKAWA
 
Chadema hawana shukrani, dk slaa ndo kawaweka mjini Leo wanamuona kikaragosi. Hugo mbowe alipogombea 2005, aliambulia aibu, slaa ndo kawabeba 2010. Hawa akina 'onyesha sehemu hela iko' hatari sana.

Unajenga mji halafu unauchoma moto!! ni sawa na hakuna!! tafakari!
 
Hadi sasa sijajujua nani wa kumpa kura yangu tatehe 25 , yani watu wanaibuka na maneno mengi sana .... siasa
 
Wewe mwenyewe changanua.......pale unaporidhika baki hapo hapo............
 
Mara Rada,melemeta ,ufisadi, escrow,richmond,mara choo kimeamia chumbani, mahakama ya ufisadi, Ukawa,
 
wewe fanya upembuzi yakinifu na ukijiridhisha source ya hayo maovu ni nani ? sasa toa kura yako unapoona unajisikia upo safe
 
Hadi sasa sijajujua nani wa kumpa kura yangu tatehe 25 , yani watu wanaibuka na maneno mengi sana .... siasa

Ukikaa sana chini ya mti ndege atakunyea,,,tufanye mabadiliko ndugu yangu ili ile dhana ya kusema hata tusipotimiza ahad watatuchagua tu iishe #mabadiliko
 
Usiwe na haraka ndugu. Sikiliza sera za wagombea kisha fanya uamzi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom