CCM inajichanganya yenyewe kura lzm tupige tu hakuna namna nyingine.Eti ccminaangaika kutengeneza timu za kampenihv unawezaje kumuingiza mtu mzima uliyemuaibisha kwenye uteuzi wa urais iliapige kampeni hali iko wazi kwamba mwenyekiti alikuwa na majina yake matano huku watu wazito kama akin a sitta ,pinda ,bilal ,mwandosya wakitupwa nje huku vijana wadogo wakiingia tano bora.Hivyo basi kikwete anawachezesha watu wazima kama karanga kwenye ungo.Daima ukikosa akili na msimamo unaweza kuchezewa kama zezeta.CCM Imekufa kabisa mnaounda timu za kampeni mnasumbuka bure.