UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
Lowassa, Ukawa...ndio mpango wa Mungu...

Mipango ya shetani imeshindwa na ilegeee, na mashetani yote yanaungulia jehanam October 25...
 
Leo 14/08/2015...kwenye vyombo vya habari kama mmesikia uchumi wa taifa umeshuka kwa 2.1%..... Na inategemewa kuwa utazidi kushuka zaidi kwenye kipindi hiki cha uchaguzi...
 
shida ni kwamba, kila siku mtu mmoja ana uwezo wa kupiga kura. hivyo si halisi sana
 
Kwanza naomba kueleweshwa,kipindi hiki,miaka ya nyuma, huwa zinajitokeza asasi nyingi za kufanya utafiti, mfano Sinoveti, sijui policy, forum,sijui twaweza, na nyingine nyingi, nashangaa kipindi hiki, hizi asasi, zimekuwa bubu, nini kimewasibu. Basi ombi langu, kwasasa, ijitokeze asasi yoyote yenye sura isiyo na mashaka kwa jamii, ituendeshee kura ya maoni, kati ya mgombea, katika ngazi ya uraisi, kati ya ED Lowasa, na JN.Magufuli nani zaidi, na kwa asilimia ngapi.Nawasilisha, Mod plse msifute uzi huu.Asanteni.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom