UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
Wakuu hapa naomba tupige kura ya wazi na huru kabisa.....kama unamkubali mmojawapo kati ya hawa: Edward Lowassa au Dr John P Magufuli.....mtaje kisha weka na sababu za kumkubali.

Wengi wetu tumekuwa tukisema kwamba namkubali fulani bila kuwa na sababu angalau tatu tu za kusimamia
 
Dawa ipo october 25th...kichwa kimoja, kura moja...hapa JF wote tunajua wafuasi wa EL na bavicha wamelazimishwa kila mmoja kuwa na JF Id zaidi ya 50...kwa kifupi..kila mtu mmoja ana 50 votes
 
Edward Ngoyai Lowassa kura yangu inaenda kwake nadhan ana jambo kubwa la kutufanyia watanzania
 
Dawa ipo october 25th...kichwa kimoja, kura moja...hapa JF wote tunajua wafuasi wa EL na bavicha wamelazimishwa kila mmoja kuwa na JF Id zaidi ya 50...kwa kifupi..kila mtu mmoja ana 50 votes

Hivi hadi leo hujui hizi id mpya ni za UVCCM wenzio wameamua kuingia katika safari ya mabadiliko?
Shtuka wewe, wenzio wanadanganya tu hapa kwa id's zao zinazojulikana ila moyoni ni UKAWA ndio maana wamefungua id's mpya kudhihirisha hilo.
#TorokaUje
 
Sipotezi mda wangu kuandika sababu
Ila we jua tu raisi wetu ni yule mzee wa monduli ENL
Hapo umemaliza kila kitu. Ya nini nihangaike kuweka sababu wakati kadi ya kupiga kura nnayo tena nimeipata kwa kushinda njaa na kudamka usiku. Lowasa pekee atosha
 
Hivi hadi leo hujui hizi id mpya ni za UVCCM wenzio wameamua kuingia katika safari ya mabadiliko?
Shtuka wewe, wenzio wanadanganya tu hapa kwa id's zao zinazojulikana ila moyoni ni UKAWA ndio maana wamefungua id's mpya kudhihirisha hilo.
#TorokaUje
Mkuu naomba uniunganishe kwenye group la whatsapp la mpendwa wetu Lowasa namba yangu ni 0754845332
 
Dawa ipo october 25th...kichwa kimoja, kura moja...hapa JF wote tunajua wafuasi wa EL na bavicha wamelazimishwa kila mmoja kuwa na JF Id zaidi ya 50...kwa kifupi..kila mtu mmoja ana 50 votes

Duh pagum hapo!!! Una uhakika na chanzo chako mkuu??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom