UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
Bwiru boy;13559585 Lowasa pia amekuwa akitajwa na watu wengi kuwa ni mchapa kazi na mtu mwenye maamuzi magumu (sijayajua haya maamuzi magumu ni yapi said:
Sikushauri wewe, bali nakusaidia kama una uwezo wa kuwashauri hawa wagombea wawili, waambie wakurahisishie uamuzi wako kwa kubadilishana, Magufuli msafi agombee UKAWA na Lowassa mchafu agombee CCM. Nadhani hapo utaweza kuondoka hapo njia panda ulipo sasa, la sivyo mafuriko yatakukumba tu, 'tafakari na chukua hatua'
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom