Mkuu unjinga wa watanzania limekuwa daraja kwa wanasiasa hasa wa UKAWA watu anamihemuko na bila wao kujua wanachokifanya kuwashabikia mafisi maji watakuja kujuta muda ushapita.Wewe ndiyo huna hoja. Matudi ya nini leta hoha zenye nguvu. Rais wetu ni Magufuli. Nina imani naye. Hivyo matusi yako hayaninyimi fursa ya kupiga kura. Cyberbulling has no room here!
utapigaje kura yako ya urais mwaka huu?
1)ukawa
2)ccm
3)none of the above
CCM wanasema Lowassa hawezi enda magogoni.
Sababu ni ile dhana inayojulikana kama Party Supremacy.
Kwamba Chama kina nguvu kuliko kitu kingine chochote.
Yaani kwa kifupi ni kwamba hata mkuu wa majeshi na wakubwa wa vyombo vya usalama kwa siasa za hapa kwetu wako chini ya chama na wanatii amri ya chama.
Sijui wadadavuzi wa mambo kuna ukweli wowote kwenye hili?
CC: Pasco, MWANAKIjiji, Watu8, MNYISANZU, Ben Saanane, Tumaini Makene, Fanfa, tycoon, et al
In a nut shell, can you tell us how you arrived at these pleasing figuresKama hali itakuwa hivi ilivyo au UKAWA wataongeza moto na kubadili gia hewani...basi Lowassa ( UKAWA) will win with LAND SLIDE VICTORY...!!!
Hakuna cha a, e, i, o, u hapa, parapanda ishalia, hakuna CCM pa kuponea...
Kila mtu, kila, mtaa, wilaya, Mikoa, Miji ni UKAWA, LOWASSA...
Margin errors +/- 2%, Lowassa 82%, Magufuli 17%...., 1% undecided voters..!!
In short, my predictions always will never go wrong...!!!
Sio kuwa tatizo ni MAGUFULI...la harsha...TATIZO NI CCM, as well TIME...!!!
It is TIME for CHANGE...period..!!!
No way out, No way in, No mess, Not me.. No is No...!!!
Lowassa, Mbowe, Mbatia, Makaidi, Maalim Seif, these are Most Genius Tanzanians in Tanzania Political history...!!!
Lowassa kama Yesu, Mbowe kama Yohana Mbatizaji...!!!
WATAISOMA NAMBA...!!!!