Ukawa ndio wakati wa leo. Inashangaza kwa kijana kupigia kura CCM. Tuliahidiwa kwa mbwembwe eti maisha bora kwa kila mtanzania, Tumejionea. TUBADILI MFUMO MZIMA wa utawala, tuchague mabadiliko ambayo ni UKAWA.Ukawaaaa
Utapigaje kura yako ya urais mwaka huu?
1)UKAWA
Uraisi wa jf watashinda ukawa but "at the palace" ukawa wataishia kuusikia kwenye radio
Only if JF members were the only voters in Tanzania. Mleta mada kama hizi data unategemea kuzitumia kufanya inference ya the entire population ya watanzania unaenda kukomiti error. Hakuna representation ya makundi mbalimbali ya watz hapa.