UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
ukawa hakuna namna tena ya kuokoa cccm ata pinda atapigia ukawa!
 
ukawa kwa lowasa labda waniimbishe kweli!! not him!! mbona alipokuwa ccm hatukumpenda leo yukop chadema apendwe? why ? ina maana huko we were wrong then , je ni wangapi ambao tnawaundia zengwe wakti hawako hivyo? just confused! au tumeingia mtego wa pesa?

hata kahaba anapomrudia mungu wake mungu hufurah na kumuweka kwenye kundi lake. atasaidia sana kutoa mbinu walizokua wanatumia kuiba kura na mauchaf yake. gwajima alishasema msompenda kuleni malimao ushabwia mangap?
 
wAO SI WALIKATA VIUNO BAADA YA KUWAPORA WATANZANIA KATIBA YAO BASI NA SISI TUTAWALIPA BAADA YA KUCHUKUWA NCHI YETU.

WHO LAUGHS LAST LAUGH THE BEST
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom