Kutokana na mvutano kuhusu matokeo ya utafiti uliotolewa na twaeza sasa andika jina la mgombea wa uraisi utayempa kura yako kama uchaguzi ukifanyika leo.
Tutapiga kura kwa siku tatu tuone nani kapata nini.
lowasa

hata magufuli atatoa elimu bure magufuli
kenge at work
Lowasa.....Magufuli
kwan wew hujapga kura humu?!?
mpumbavu ni mpumbav tu
ndio maana tunasema
elimu
elimu
elimu
wapumbavu na malofa tumezinduka tunataka mabadiliko
John.Pombe.Magufuli
inaonekana huu uzi umekukamata vilivyo!! ungekua moderator ungeufuta ww! tulia upate dawa!!
We hii ni Mara ya ngapi unapiga kura.au goli la mkono hadi humu JF