Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,625
- 2,960
Lowassa
Mwaka huu mnalo, rais wako ni lowassa get ready!!
Sasa Nani Mkurugenzi Wakusimamia Huu Uchaguzi?Mbona Kila Mtu Anatoa Tamko Tu
Wewe ni nepi au nape?
Huo hauwezi kuitwa utafitı bali poroja.Lazıma kuwe na sample ambayo imekizi vigezo.Wengi wenu nı Chagas ambao wanapgana apatikane mtu atakayewafanya wazidi kupora taifa hili.
Maoni Halisi? Mbona Nipo Na Bibi Yangu Hapa Hachangii Hayo Maoni Yenu...!