baba anjela
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 431
- 310
lowassa
Hivi nauliza hawa Jamaa wa goli la Mkono watashindwa vip kupiga kura mtu mmoja zaidi ya mara moja kwenye vituo tofauti maana ninavyofahamu kura ya Uraisi inapigwa kwenye kituo chochote sio lazima kule ulikojiandikisha.
UKAWA wamejipanga vip kupambana na hii kadhia
Haki ya mungu pamoja na tony kujitaidi kuvuruga kura lakini mpaka sasa lowasa anaongoza kwa kura 180 kwa 31 za magufuli, ukweli utabaki pale pale Edward lowassa ni chagio la wengi. Tuendelee...