UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
huu sio utafiti yan tony antony kapiga kura thelathini peke yake au ndo twaweza wanataka kuhalalisha uozo wao kupitia hapa
 
​

Umati ukiwa umefurika kumsikiliza mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Karangalala,Geita mjini.
​
Mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Geita mjini kwenye uwanja wa Karangalala ambapo aliwaeleza wakazi wa mji huo kuwa atahakikisha viwanda vinajengwa , wacimbaji wadogo wadogo wanapata maeneo ya kuchimba, ataboresha maslahi ya wafanyakazi , kuhakikisha madawa na huduma za afya zinakuwa bora zaidi na elimu bure kuanzia shule za msingi mpaka kidato cha nne.

Miaka zaidi ya 50 mlikua wapi????? Lowassa kasema elimu bure mpaka chuo kikuu nyie mnasema mpaka form 4 really??? Tumewachokaaaaaa hapa ni mabadiliko tuuuuu!!
 

Attachments

  • 1443091458555.jpg
    1443091458555.jpg
    110.2 KB · Views: 120
  • 1443091512044.jpg
    1443091512044.jpg
    81 KB · Views: 119
  • 1443091550428.jpg
    1443091550428.jpg
    27.8 KB · Views: 119
  • 1443091580296.jpg
    1443091580296.jpg
    33.9 KB · Views: 117
  • 1443091621184.jpg
    1443091621184.jpg
    55.5 KB · Views: 109
  • 1443091673303.jpg
    1443091673303.jpg
    54 KB · Views: 105
  • 1443091714974.jpg
    1443091714974.jpg
    69.3 KB · Views: 111
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom