KING MAZENGO
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 755
- 200
Lowassa
mkuu makomeo lazma awe amekuahd japo uje kuwa mtendaj wa kijiji kwa jins unavyojitolea. VIVA LOWASA
John.Pombe.Magufuli
Usiwe na hofu atakayeshinda haapishwi humu
Lowasa tony Antony anapiga Mara nyingi yaani maccm kwa wizi wa kura mpaka hii kura ya wazi bado hana aibu anaiba kura hadharani.