UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
Huo hauwezi kuitwa utafitı bali poroja.Lazıma kuwe na sample ambayo imekizi vigezo.Wengi wenu nı Chagas ambao wanapgana apatikane mtu atakayewafanya wazidi kupora taifa hili.
 
Tumeamua kumaliza ubishi na mijadala juu ya kura ya maoni baina ya wagombea hawa wawili.

Mods naomba muweke mfumo wa kupiga kura ili members wasirudie mara mbili.

Mwisho wa kupiga kura ni Jumamosi tarehe 26 saa 12 jioni.

sipigi tena maana naona pool zimekiwa nyingi huumu ndani kama vipi jitangazieni ushindi tuendelee na nyuzi za maana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom