UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
Tumeamua kumaliza ubishi na mijadala juu ya kura ya maoni baina ya wagombea hawa wawili.

Mods naomba muweke mfumo wa kupiga kura ili members wasirudie mara mbili.

Mwisho wa kupiga kura ni Jumamosi tarehe 26 saa 12 jioni.
..Mods wekeni poll centre..

Humu kuna wapiga kura zaidi ya laki 2 siku ya uchaguzi,kwa hiyo PAHESHIMIWE.
 
unafikiri kwa makalio wewe! Utafikiri siku ya kura utapiga mara nyingi kama unavyofanya ss hv?

Hahahahahah Kwanza Umeharibu Kura,pili Leo Sio Siku Ya Kupiga Kura Na Hapa Sio Mahala Pake Hahahahahah Shame On You Ukawa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom